Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

  • Screenshot_20220902-153249.png
    182.6 KB · Views: 15
  • 20220902_153223.jpg
    82.9 KB · Views: 15
  • 20220902_153228.jpg
    91.2 KB · Views: 14
  • 20220902_153258.jpg
    79.7 KB · Views: 17
  • 20220902_182157.jpg
    138.9 KB · Views: 15
Sera za SSH Kuifungua Nchi zinazidi kulipa..

Kampuni ya RM Group ya Israel inajenga Mahotel ya Kitalii Zanzibar [emoji116]
Mama anafungua milango ,big up sana sera zake ni konki namkubali hakika bila yeye Tanzania hakuna,
Nahakuna Raisi yeyote yule anayemzidi mama kwa upande wa kuvutia wawekezaji na nyanja tofauti tofauti

#kazi iendelee
 
Sina bibi.., was busy na deals za business sehemu flani, ila wewe pia uko deluded na mambo ya dini etiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚..,
Dini ni kweli wewe, shauri yako, kwani wewe huamini katika dini.?
 
Mama anafungua milango ,big up sana sera zake ni konki namkubali hakika bila yeye Tanzania hakuna,
Nahakuna Raisi yeyote yule anayemzidi mama kwa upande wa kuvutia wawekezaji na nyanja tofauti tofauti

#kazi iendeleeView attachment 2343238
Kashasahau marehemu ndie alirudisha uhusiano wa Tanzania na IsraeliπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Now if you but something on jumia you get delivered instantly by a drone .... I love where we headed
 
We hujui chenye unasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…