Hasa umesikiliza iyo makala umeokota maana tofauti ulitaka nikusifie[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tayari umeshaanza na Kuni judge na uwezo wangu wa kujua kiingereza.? [emoji1787] Nilikwambia battle huiwez we yako ni maneno tu
Sasa acha kutusumbua na mascreen short yako humu...toa hoja, facts, proofs...hio ndo jf tunayoitaka...Ni poa
It's obvious,Google,Apple,Uber, Boeing,Jeep,GMC,Yahoo,Microsoft,Hizi zote zipo USA zinarun hii dunia lakini uko hapa kuongea ujinga bila uogaNimeona huna facts kwenye technology tuusan at least labda uje kwenye uzuri wa miji, huku utakua na cha kupost, karibu
[emoji16][emoji16][emoji1787]Sasa acha kutusumbua na mascreen short yako humu...toa hoja, facts, proofs...hio ndo jf tunayoitaka...
Badili account sasa uje mpya mwenye akili timamu..
Sawa opportunity cost..
Acha upumbavu wewe,umeshashikikiwa akili na hiyo taahira anaitwa Simon na wewe umezama mazima..Sasa acha kutusumbua na mascreen short yako humu...toa hoja, facts, proofs...hio ndo jf tunayoitaka...
Badili account sasa uje mpya mwenye akili timamu..
Sawa opportunity cost..
We jamaa uko na shida
Hata hiyo January itakuwa ni hadithiLol wamesogeza hadi January?
Ama kweli sasa maendeleo spidi yake ni konokono...
2025 wapumzike tu
Safi sana leo umejileta mwenyew.. hapo umelike hio post.. mpo 15..
View attachment 2342348zaman uliwah kuleta screenshot ikaonyesha na profile pic yako ya twitter.. sasa nimepitia hizo like 15.. nimekutana na profile pic yako nawe upo
Sasa, hii ndo account yakoView attachment 2342345
Na huyu ni wewe
View attachment 2342346
View attachment 2342347
Mtu mzima lkn akili kisoda..
We kumbe una uwezo mdogo sana wa kufkiria 🤣🤣🤣 sasa technology kubwa eti unataja magari na simu.? 🤣😘, hizo technology hatuwezi sisi tu huku Africa kutengeneza, technology za mtandao.? 🤣🤣 China wako na mitandao yao na technology zao.. hivyo sio vitu vikubwa so far dunani uko..It's obvious,Google,Apple,Uber, Boeing,Jeep,GMC,Yahoo,Microsoft,Hizi zote zipo USA zinarun hii dunia lakini uko hapa kuongea ujinga bila uoga
Wehh,,kamechapa😅Moshi town 👇View attachment 2339678.. Don YF. Kisumu mwenzake huyo from Tz
Hii mada naona Imefika mwisho tayarituusan unataja technology kubwa eti unataja magari.? [emoji1787][emoji1787].. watu wako huku Automated container terminal [emoji116]. Driverless robotic taxes in China [emoji116] . Kwakifup pitia newest smart technologies in China [emoji116] . Sida uko busy na CCN, BBC na Aljazira vitu hiv utaona wapi.? Ndio mana hujui
Huna cha kunijibu nilishakwambia tangu mapema.. utapost nini sasa.? 🤣Hii mada naona Imefika mwisho tayari
Tatizo umelalia kichwa sana, Alafu unaleta hoja mbogamboga mezani
Unatumia Google kusearch taarifa zako lakini bado unafikiri Google ni ya lindi ama Muleba?mnajisifia kuagiza ndege za Boeing au nazo unadhani zinaundwa Mpwapwa..? [emoji3][emoji3][emoji28]na nikwasababu hauna exposure ndio unapagawa kiurahisiWe kumbe una uwezo mdogo sana wa kufkiria [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa technology kubwa eti unataja magari na simu.? [emoji1787][emoji8], hizo technology hatuwezi sisi tu huku Africa kutengeneza, technology za mtandao.? [emoji1787][emoji1787] China wako na mitandao yao na technology zao.. hivyo sio vitu vikubwa so far dunani uko..
Unataka nipost nn kijana?it's obvious jamaa wako level zao...Hasa kuna nn ambacho hujui?jaribu compare China na wenzake wa Brics sio developed countries kama USAHuna cha kunijibu nilishakwambia tangu mapema.. utapost nini sasa.? [emoji1787]
we mpumbavu wa wapi unaanza kunikandia? hii post nimeandika mimi? Au nime-share?We jamaa uko na shida
Kwahyo kila kitu unashare tu? Fala wwwe mpumbavu wa wapi unaanza kunikandia? hii post nimeandika mimi? Au nime-share?