Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That
Gorofa zinahesabika na vile huwa mnapiga kelele hapa
hahaha 😀😀😀😀😀😀😀 Juzi nimegundua mpaka hata tukijumlisha mashimo mnayofukua sasa hivi (Pinnacle na Montave na at least yaliyonyayuka ( avic) bado tumewazidi kwenye high rises at least buildings over 30+ floor. Je tukitoa hayo mashimo (4 towers) ambayo ni montave 1& 2 pinnacle ya 70 na 45. mnakuta manatembelea kichwa. halafu mna audicity kuongea ovyo ovyo. huwa nawashangaa kweli. Haina haja ya kutumia nguvu nyingi kusema wewe ni noma au upo juu, kama upo juu upo juu tu, lakini ukiona unasema upo juu na watu wanakubishia ujue bado unatembelea kichwa
 
wacha kujiaibisha hapa wewe....nenda kule skyscrapercity kwa highrise buildings in africa utapata idadi kamili ya kila city..mnajipigia debe wenyewe ila huko nje sivyo mambo yalivyo
 
Pinaccle na montave bado ni renders waambie wakuoneshe wapi kunajengwa utacheka sana😀😀
 
unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
6dbed69ea226be1838b115f40a8efc13.jpg
6a9d8b9e57d9aecc5ee89d90deb6e0c2.jpg
13b176fe64f54c0edf77a58eb4467a2b.jpg
b729dadd72c6461fbdce2132563af2ec.jpg
4e645108f68740bfd69824ce49d2b59f.jpg
f2044251beff3cc96b3f6d8e63b67cc0.jpg
6b37f2f41de6ff2b9d6ebe3b5a365bc0.jpg
56cbfd1dc3aaa536e80d3c7280b39a92.jpg
46286ce948b1d49fe99b0e2f9870a0dc.jpg
0d6b85efee5fe08fc57a5de2c98e096a.jpg
0648eadc59c5a7cd51c87b274fe479d4.jpg
b9c1cdb832356e50af3c9ab3a113e168.jpg
fdfc28c3ad35223334207e7f00120401.jpg
Ukigusa hapo watakumbia wote humu😀
 
wacha kujiaibisha hapa wewe....nenda kule skyscrapercity kwa highrise buildings in africa utapata idadi kamili ya kila city..mnajipigia debe wenyewe ila huko nje sivyo mambo yalivyo
Niletee idadi ya highrises za Nairobi over 30 Floors kwanza, kule skyscapercity napajua sana maana wanainclude na za 20+Floors na uwe unasoma kwanza nilichoandika sio kukimbilia eti najiaibisha ,nimesema Over 30 Floor Buildings whether completed or Underconstruction mnatembelea kichwa kwa Dar. Period.
 
That

hahaha 😀😀😀😀😀😀😀 Juzi nimegundua mpaka hata tukijumlisha mashimo mnayofukua sasa hivi (Pinnacle na Montave na at least yaliyonyayuka ( avic) bado tumewazidi kwenye high rises at least buildings over 30+ floor. Je tukitoa hayo mashimo (4 towers) ambayo ni montave 1& 2 pinnacle ya 70 na 45. mnakuta manatembelea kichwa. halafu mna audicity kuongea ovyo ovyo. huwa nawashangaa kweli. Haina haja ya kutumia nguvu nyingi kusema wewe ni noma au upo juu, kama upo juu upo juu tu, lakini ukiona unasema upo juu na watu wanakubishia ujue bado unatembelea kichwa
Na over 40 mnamangapi???...hahahahahaaa
 
Niletee idadi ya highrises za Nairobi over 30 Floors kwanza, kule skyscapercity napajua sana maana wanainclude na za 20+Floors na uwe unasoma kwanza nilichoandika sio kukimbilia eti najiaibisha ,nimesema Over 30 Floor Buildings whether completed or Underconstruction mnatembelea kichwa kwa Dar. Period.
heheee...so umeeka ya 30 ujifariji kwa sababu unajua yetu mengi ndio yako kwa excavation.still tukileta yale yashaanza kujengwa tunakula sahani moja tu.my friend,your boom ilishaisha mkuu hamna jipya tena huko cz gap tumewapa ni kubwa excess
 
Yaani hata hayo yaliyo kwenye excavation nimeyainclude hayafikii ya Dar. hamna cha gap. sasa sijui kwanini usiyaweke hapa ili tusionekane tunaongea tu bila evidence.
 
are you serious dude???
 
Huu uzi itabidi awekwe mwamuzi ili mshindi apatikane na ligi ifikie mwisho
 
Back
Top Bottom