Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah,hawa tuwaache tu,
 
Yaan wewe jamaa huwa unaongea kwa mapenzi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabla sijamjua nilikuwa nakasirika ila siku hizi nimebaki kumcheka tu. Ukitaka asifie kitu ni kiwe cha Nyanda za Juu Kusini ila Kanda ya Ziwa au miradi ya Magufuli ataponda mpaka povu limtoke lote.
 
Rafiki yangu alienda China kusoma ,siku analand Beijing alijiskia vibaya sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji1787]....
He was like hey hii ni dunia hii hii ama niko sayari ingine? Nyie acheni bana hapa tunapigana vifua na v2 basics v2 vya kushtua ni vichache sana...Alistaajabu sana alioyaona..
 
Ila kwasasa tunaskia tu kuna mpango, kuna mpango [emoji1787][emoji1787] no implementations, what's going on.? Ule mpango wa kujenga zile Arena mbili DOM &DAR umeishia wapi, tenda imeshatangazwa.?
Kwa kweli tuta...tuta.. tayari zimetosha angalau waanze na mmojawapo wajitoe kimasomaso. Tumengoja sana. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Noma mwanangu [emoji8][emoji8][emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2341043
Kilichonifurahisha zaidi ni kuona sehemu kubwa wametumia mabati ya rangi moja inapendeza sana((Uniformity).

Pia sehemu nyingine za miradi wangefanya hivyo hivyo na iwe sheria kama ni mabati ya blue iwe blue tu, Red ni red, white iwe white, hivyo hivyo Kijani kwa Kijani.

Rangi zikichanganywa inakuwa uchafu hasa kwa haya mashirika yenye uongozi unao eleweka hawa ndio wa kutupendezeshea miji yetu kama vile NHC,TBA,NSSF,MAGEREZA,SUMA JKT n.k.
 
Kwa kweli tuta...tuta.. tayari zimetosha angalau waanze na mmojawapo wajitoe kimasomaso. Tumengoja sana. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna mradi mpya wa maana utaanzishwa chini ya serikali dhaifu mzee. Wacha wamalizie miradi ya awamu ya tano basi waendelee kupiga pesa basi.
 
Mbona iko hivyo Dodoma, kuna sehemu ni rangi ya kijani tuu, sehemu nyingine nyekundu, ni sheria kabisa wameweka kwenye miji mipya n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…