Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Debate was "Eastlands" ya hizo miji mitatu..., na wewe uko na jibu?..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.. usilazimishe kila mji uwe na maeneo machafu.. ARUSHA ni classic City haiwezi kuwa na maeneo machafu kama hiyo kwa jina la Eastland .. nje ya CBD ARUSHA maeneo mengine ambayo ni muhimu ni haya 👇hapa 👇hizi ndio Eastland za ARUSHA, sio yale mauchafu unayopost wewe 👇nje ya Arusha CBD still kuna maeneo yenye hadhi kuliko hiyo CBD yenyewe.. usifosi tufanane
 
Wewe ata mawingu ya white or grey unaweza kubisha na kusema mawingu ni yellow., uko na ugonjwa flani wewe 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ukikubali kushindwa hautakufa 🤣🤣🤣🤣
Yaani huyu mtanzania aliye chukua clips za Arusha kafika Kisumu, hakuenda CBD alitembea pande za down town., lakini kuna tofauti kubwa na Arusha, tokea soko hadi magari in Arusha matatu ni old model kama yoote.., tazama Kisumu., streets look better na ni down town, new model hiece kwa wingi.., hakuingia CBD😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kichapo ulichokula Leo hitorudia tena maishani 🤣🤣🤣🤣
 
tuusan .., this is how it began..., hakuna jibu hadi wa leo., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wacha niende zangu lunch..., nikirudi nipate jibu.,
Yani kwa akili yako ulitaka kisumu ifanane kila kitu na arusha?kwamba ilikua ni lazima kue na mtaa wenye flats kama huo for a comparison? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]

Arusha kuna culture yake tofauti sa usilazimishe mambo
 
Yani kwa akili yako ulitaka kisumu ifanane kila kitu na arusha?kwamba ilikua ni lazima kue na mtaa wenye flats kama huo for a comparison? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]

Arusha kuna culture yake tofauti sa usilazimishe mambo
My point was never about flats per'se, ila standard ya makazi za watu wa kawaida boss, of which unfortunately I discovered long ago in Mwanza and Arusha ziko more or less the same look kama zile za Dar, ukiwacha high end residential, and this is what I have observed across Tanzania on average.., I knew what I was doing, nilitaka tofauti na Kenya idhihirike wazi, nilijua wenzako hawata post kwa vile kuna tofauti na ni aibu, I wasn't surprised walipo kataa ku post, tayari najua ziko vipi, but wamejua tofauti, my objective was realized, point driven home, u can try other Kenyan towns too..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…