Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huto tumji twenye mabweni na vijumba vya kufanana hata Stand hakuna..

Tanzania Stand za maana hadi Miji midogo,look here hapa ni Kakonko πŸ‘‡
So what, watu wanaishi kwa hizo stand? an excuse ili ujiliwaze tu, jikubali tu, ata waganda wataturingia na masoko yao clasic sio ajabu, on average standards Kisumu iko juu ya Mwanza na ArushaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kitu wakenya walinyimwa ni kukubali wakishindwa na jambo,Arusha imezidi Kisumu kwa mambo mengi sana lakini wako kimya
 
Haupati Arusha or Mwanza.., zingekuepo unge post humu angles zote..., ama unataka nikusaidie upande wa Arusha?..
Onyesha angles zote kama Kisumu..., battle iliisha, haupati jibu kutoka Mwanza or Arusha..

🀣🀣🀣 makazi tunayoringishiwa nayo from our neighbor's village center πŸ‘‡hakuna nata centimeter moja ya lami 🀣🀣🀣 Don YF. We huwa umerogwa au vipi.? Heb ona vile ARUSHA inakaa πŸ‘‡tofauti ya haya maeneo ni peponi na motoni 🀣🀣🀣
 
Hiyo hatuwaringii, tunaonyesha tu makazi ya kawaida, yenu ya kawaida hazina lami so usijitoe ufahamu, hiyo ni mitaa ya kawaida kama unataka za lami kila kona pia sema.., kama hii hapa Kisumu,..,
 
ARUSHA Ina makazi mengi ambayo yapo vizur hilo ni eneo moja tu 🀣🀣🀣 relax
Mitaa ya watu wa kawaida nah.., nenda kadanganye vilaza kama wewe...., ama nikuteremshie google earth?.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hiyo hatuwaringii, tunaonyesha tu makazi ya kawaida, yenu ya kawaida hazina lami so usijitoe ufahamu, hiyo ni mitaa ya kawaida kama unataka za lami kila kona pia sema.., kama hii hapa Kisumu,..,
View attachment 2339800
Huku ndio hutaweza kabisa 🀣🀣🀣 Njiro ARUSHA πŸ‘‡ngaramtoni ya chini πŸ‘‡burka City πŸ‘‡yani Kisumu ni joke tu mbele ya ARUSHA mzee, don't dare to compare them 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kitu wakenya walinyimwa ni kukubali wakishindwa na jambo,Arusha imezidi Kisumu kwa mambo mengi sana lakini wako kimya
tuusan nataka unijibu kiukweli, battle ni makazi ya kawaida ya raiya, yaani "Eastlands" ya Arusha, Mwanza na Kisumu.., wenzako wamekimbilia Villas, Hotels, resorts na posh estates za wachache.., sioni density ya makazi ya raiya wa kawaida either Mwanza ama Arusha.., google earth iko nazijua ila nataka wenyewe waweke.., ama mbadilishe debate..,
 
Wacha kulazimishaga vitu mzaee Kisumu hauiwezi ARUSHA kivyovyote... Sio makazi sio maendeleo.. kivyovyote vile..
 
Wacha kulazimishaga vitu mzaee Kisumu hauiwezi ARUSHA kivyovyote... Sio makazi sio maendeleo.. kivyovyote vile..
Weka makazi ya raiya wa kawaida, angles zote, aerial, google earth na kwa ground in a wide area, domo domo hadi lini? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Weka makazi ya raiya wa kawaida, angles zote, aerial, google earth na kwa ground in a wide area, domo domo hadi lini? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kichapo unachokula bado unakaidi.? 🀣🀣🀣🀣 We jamaa ni mzimu wewe. Pole
 
Nje ya Dar, iwe Mwanza ama Arusha, ama popote pale haupati such standard kwa hii density..., ni ushuzi ndio utapata in such concentrated density, ama namna gani Sama boy 255 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…