Ungejumuisha na hii ndani ya Mwanza na Arusha.., bado tu Kisumu ingewatoa kamasi.., TKO, CASE CLOSED, no need to keep on trying to save face.., π π π π π πMoshi town πView attachment 2339678.. Don YF. Kisumu mwenzake huyo from Tz
Unajiaibisha.Wewe ni kilaza kweli.., Eastlands ya Kisumu ni Lolwe, Migosi, Mambo Leo, Kibos, Carwash etc.., Lolwe iko ndani yake..,
Kwa mtazamo wako hii density yote ni hiyo Lolwe unataja?.., na hata Mambo leo iko nje, Kibos area haijaguswa.., na ujue hapa sio town(hakuna CBD), ni makazi ya raiya wa Kisumu kwa wingi.., Lolwe iko hapa chini kwa foreground..,kule mble ni Migosi na Kondele to Carwash kwa background.., Kenya sio size yenu,.., hapa sio Mombasa wala Nakuru, just imagine.,
View attachment 2339518
Ila kuanzia leo hutaleta shobo tena na ARUSHA mtuache, ARUSHA can even beat mombasa in so many waysUngejumuisha na hii ndani ya Mwanza na Arusha.., bado tu Kisumu ingewatoa kamasi.., TKO, CASE CLOSED, no need to keep on trying to save face.., π π π π π π
Hilo ni zee la kujitoa ufahamu π€£π€£π€£Unajiaibisha.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nimecheka sana,naona unadeal na kilaza hao ndiyo wazee wa photosKwa sabab hata hii yenyew yakawaida Sana kwa ground, hzo rangi rangi zisikuchanganye[emoji28]
View attachment 2339638View attachment 2339639View attachment 2339640
Kwa jinsi tulivyoona picha za Arusha hapa ni sawa na unapost takataka mkuu, ni sawa ulinganishe London na ka Nairobi.Kisumu Moto ya kuotea mbali View attachment 2339536View attachment 2339539View attachment 2339549View attachment 2339551View attachment 2339552View attachment 2339554View attachment 2339559View attachment 2339562View attachment 2339556View attachment 2339558View attachment 2339557View attachment 2339563View attachment 2339560View attachment 2339561View attachment 2339564
Uendazimu wako umeingia na bado ni asubuhiπππππππππππIla kuanzia leo hutaleta shobo tena na ARUSHA mtuache, ARUSHA can even beat mombasa in so many ways
Tunaongeaje na mate wakati wino upo.? π€£π€£π€£π€£π€£ Hapa ni ground tuUendazimu wako umeingia na bado ni hasubuiπππππππππππ
Battle ilikua makazi ya kawaida..., Kisumu 10.. Mwanza/Arusha combined 0., ama wewe uko na jibu uokoe jahazi?Kwa jinsi tulivyoona picha za Arusha hapa ni sawa na unapost takataka mkuu, ni sawa ulinganishe London na ka Nairobi.
Kabisa ,tena moshi yenyewe ni bora kuliko kisumuTumegoma kuzalilisha EA's tourism capital na ujinga unaoitwa kisumu.. hiyo discussion ni aibu tu.. tumeishia hapo.. mkitaka battle za mji wenu tuna Moshi town is there to compete Kisumu not otherwise..
Dar ni half world class city cz ina zaidi ya 60% za infrastructures zote zinazopatikana ulaya.Battle between nairobi na Dar iliisha zamani, tunangoja miaka ishirini na tano mbele, kisha tutajadiliana.., kwa sasa tunaumbua propaganda na kuweka mambo sawa.., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akili za GDP ya $150B reasons anything..., endeleeni kunifunza lugha tukufu la Kiswahili., π π π π πDar ni half world class city cz ina zaidi ya 60% za infrastructures zote zinazopatikana ulaya.
ata nusu ya quarter haifikiππππππππDar ni half world class city cz ina zaidi ya 60% za infrastructures zote zinazopatikana ulaya.
Nyote mliandika kwa "mate", hakuna aliye jibu Kisumu kwa "wino".., domo domo na kupost kile hamjaitishwa.., mlikwepa battleπππππππ., yaani mlikosa jibu TKO!!Tunaongeaje na mate wakati wino upo.? π€£π€£π€£π€£π€£ Hapa ni ground tu
Mbona jibu rahisi iliwashinda kupost? kulikoni?.., ni nyote mnajitoa ufahamu due to blind patriotism, kukubali ukweli ni tatizo kwenu, ukweli mchunguππππ mmetia adabu.,Hilo ni zee la kujitoa ufahamu π€£π€£π€£
Acha basi[emoji28]Battle ilikua makazi ya kawaida..., Kisumu 10.. Mwanza/Arusha combined 0., ama wewe uko na jibu uokoe jahazi?