Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa imetoka kwa residential umeingia kwa mahoteli?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Battle imekuwa moto ama?
Hawa watatapa tapa., wakishindwa niwateremshie google earth niwafunze jinsi Mwanza na Arusha zilivyo mitaa ya raiya tofauti na propaganda zaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu mbanano Ukiwa vingunguti ni slum lakini Ukiwa Kisumu ni cream de la creame πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Mji huu au Mwingine? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2338593View attachment 2338594
Wapi Mwanza ama Arusha? Kisumu ni sisi tuna post, na wewe leta Mwanza ama Arusha., Kenya tuwachie sisi, umeshindwa? tunawanyonga wazi wazi, hakuna what Kisumu has in those two towns in Tanzania,πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
"Eastlands" ya Kisumu yani makazi za hustlers kama wewe, yaani average living tu.., sio zile mitaa za kifahari.,
Kwani nani kakwambia yeye ni 'hustler' πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mbona mnafikiri tunafanana? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahah.. ndiomana ulisema Una umri chini ya miaka 30 na unapesa kuliko mondi[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…