Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani malls ni viwanda?v2 vingine havina hata impact ya mana kwann vituumize kichwa
Mimi ninawashangaa Sana watanzania wanapowaruhusu wakenya kuwaingiza katika "battle" zisizokua na maana yoyote katika uchumi wa nchi, hasa raia wa kawaida, hivi "Malls" Zina umuhimu gani katika maisha ya raia wa kawaida?.

Kuna Mambo ya maana ya kulinganisha yenye impact kubwa kwa watu wengi Kama masoko, usambazaji wa maji vijijini na mijini, kilimo na uvuvi, Mambo ambayo yanajibu shida za raia wa Kenya na Tanzania walio wengi, huko wakenya hawataki kabisa kuzungumzia, wameshikilia Malls ambazo 95% zipo katika majiji makuu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Si sekta ambayo wana comperative advantage! Lakini wanasahau our many markets r their malls!
 
According to kondoo za kunya humu huwa hawaifuatilii Tanzania but hii pisi ina trend Kenya kule twitter.
Kenya pisi kali kama hii ni za kutafuta kwa tochi.
Wakati huku kila hatua chache unakutana nazo. [emoji23][emoji23][emoji23]

 
Tanzania has the lowest inflation rate across EAC , endeleeni ku post mall..

Haters wa Mwiguluconomics mnaitwa huku 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220827-165027.png
    111.3 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…