NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,203
- 19,496
Hii nimeiona. Naweza sema Dar kuna malls tatu kali. Mlimani City, Mkuki House na Quality Center in that order.Kuna mkuki house mbali na Quality plaza nayo ni Mali safiView attachment 2336598View attachment 2336601
Lies .. Imara shopping mall so far 👇Hii iko wapi bradhee? Wah. Yani hata siwezi keep up na hizi malls za Nairobi. 🤣
Kunyaland hamna beautiful interior design kama kwenye hiyo mall, angalia hii video inaonesha ndani ya hiyo mall!This is not a mall. Ushaiona Mall without a parking space?🤣😂🤣
So where is the lie?🤷🏾♂️🤷🏾♂️ Watu wengine sijui inakuwanga ni ubishi tu ama ni kukosa akili.🤣🤣Lies .. Imara shopping mall so far 👇View attachment 2336604🤣🤣🤣
Nakuongezea kuna palm village mall na aura mall nazo ziko poa sanaHii nimeiona. Naweza sema Dar kuna malls tatu kali. Mlimani City, Mkuki House na Quality Center in that order.
Sasa unatuwekea picha za ujenzi unataka tufanye Nini?Lies .. Imara shopping mall so far 👇View attachment 2336604🤣🤣🤣
Hapa at least umeweka kitu cha maana kidogo, sio yale mazingaombwe umekuwa ukipost. Hehehe.
🤣🤣🤣 Kwahiyo. Sky City Mall inakuumiza moyo.? 👇Hii nimeiona. Naweza sema Dar kuna malls tatu kali. Mlimani City, Mkuki House na Quality Center in that order.
Iko Imaara Daima.Hii iko wapi bradhee? Wah. Yani hata siwezi keep up na hizi malls za Nairobi. 🤣
Hizi sio malls bro usituchanganyie madawa, hizi business centers hapo kushkumbo (makumbusho) zipo za kucheba,Greenhouse will be like this once the plants have grown. This is Sarit Shopping Mall.
View attachment 2336629
Imekaa kama cars parking
Enjoy Village Market Shopping Mall 😊Hizi sio malls bro usituchanganyie madawa, hizi business centers hapo kushkumbo (makumbusho) zipo za kucheba,