Dunia ya leo Dar mtu asiijue, nenda ukadanganye washamba wenzako kule vijijini kwenu kilaza., kama ata findings za Knight Frank haukuelewa unaongelea ukubwa wa mall mbili ama tatu Lagos na beauty, ambayo ni opinion ya mtu binafsi, article inazungumzia sq metres in total., nyambaff, kalilie kwa choo mko chini ya Kampala 😂 😂 😂 😂Oya we jamaa leta picha au videos usiniletee vimaneno maneno, tuone kama utawezana.. nipo hapa kukuelimisha wewe mbulula unaemezeshwa matango kwa jina la research, niko hapa kukueleza DAR ambayo wewe hujui.. leta picha au videos tuone kama hautakimbia..
Unanichosha babu ni Asubuhi hii, umekosa picha.? Tahira weweDunia ya leo Dar mtu asiijue, nenda ukadanganye washamba wenzako kule vijijini kwenu kilaza., kama ata findings za Knight Frank haukuelewa unaongelea ukubwa wa mall mbili ama tatu Lagos na beauty, ambayo ni opinion ya mtu binafsi, article inazungumzia sq metres in total., nyambaff, kalilie kwa choo mko chini ya Kampala 😂 😂 😂 😂
Kwa ground floor kuna mall of 20k sqm to let
Siwezi argue na kilaza kama wewe, vitu obvious unang'ang'ana kupingana, wewe ni punguani wa kiaina, na nilikuambia take a chill pill and relax, naona siku yako isha anza kuharibika, nilikuonya najua wewe ni mwepesi wa hasira ya kitoto., man take a break, nenda ukajivinjari utakufa kwa ulcers, hauna uwezo wa kudhibiti ukweli usiopenda wewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂Unanichosha babu ni Asubuhi hii, umekosa picha.? Tahira wewe
Arusha haiwezi kua bora kuliko Kampala kwann tunapenda kujiaminisha vitu havipoHata ARUSHA ni bora kuliko kampala ... Kampala ni hovyo kabisa
Kwahyo kwaakili zako wewe unaweza niharibia mimi siku.? Wewe ni Dem wangu wew..? Kwamba umeninyima uchi.? 🤣🤣🤣.. use ur common sense BroSiwezi argue na kilaza kama wewe, vitu obvious unang'ang'ana kupingana, wewe ni punguani wa kiaina, na nilikuambia take a chill pill and relax, naona siku yako isha anza kuharibika, nilikuonya najua wewe ni mwepesi wa hasira ya kitoto., man take a break, nenda ukajivinjari utakufa kwa ulcers, hauna uwezo wa kudhibiti ukweli usiopenda wewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Malls sio tatizo ba sio kitu cha kusumbua,ila sijakubaliana nae kwamba Arusha inazidi KampalaKampala has more malls that entire Tanzania.
Ningekuona wa mana sana kama ungekosoa kashfa/disrespect inazopewa Dar dhidi ya uchafu unaoitwa KampalaArusha haiwezi kua bora kuliko Kampala kwann tunapenda kujiaminisha vitu havipo
Sijaziona labda uniquote mojaNingekuona wa mana sana kama ungekosoa kashfa/disrespect inazopewa Dar dhidi ya uchafu unaoitwa Kampala
Kampala umeuzidi Dar kwa malls. Labda kama hujafika Kampala.Hivi vitu vingine kabla hujapost unatakiwa utumie common sense tu, usilazimishe vitu mzee eti kisa list imekuplace at the top, kwaakili yako timamu Kampala inaizidi DAR kwa Malls.? Usije ukadhani vitu vya malls ni vitu vya kufikirika manzee, Malls tunazungumzia vitu vinavyookana kwa macho.. usiwe punguani hata unatukana watu kwa kulazimisha uongo uwe ukweli..
Hilo sio tatizo kabisa...Tz kuna kariakoo nadhani umewahi kufika pale utapata hadi vidole vya spair [emoji28][emoji28]Kampala umeuzidi Dar kwa malls. Labda kama hujafika Kampala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa, Kariakoo ina mambo yake kwa kweli. Kila spear ipo labda ukose mwenyeji wa kukuelekeza chimbo.Hilo sio tatizo kabisa...Tz kuna kariakoo nadhani umewahi kufika pale utapata hadi vidole vya spair [emoji28][emoji28]
Huwa unajisikia raha ukiona mtu kaizungumzia vby Dar, eti hapo umenena...., it happened to some streets in ka Nairobi, yn in ka Nairobi ni some streets but in Dar umependa kusikia jamaa akisema all, upumbavu huo.Hapo umenena.., it happened to some streets in Nairobi, where some were reduced to one way street for motorists, and pedestrian walks expanded, and most streets in Mombasa old town.., due to narrowness.
Kila mahali gharama kubwa lkn hamna njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila mahali gharama kubwa aisee, wananchi wanakiona na wachache wanajifaidi, serikali ii kimya wananchi wake wakiumia
Safi ..tukiweza kupata mifupa yetu tuweke Museum Lindi huko huko ita spur tourism ya hii zone plus Kilwa , Mafia Etc Beach tourism pia itakua na living standards za lindi zitapandaUtambulisho mpya wa mkoa wa Lindi
Kampala hii hii yenye vumbi? Umewahi kufika au unakubaliana na kila kitu kinachoi discredit nchi yako.Malls sio tatizo ba sio kitu cha kusumbua,ila sijakubaliana nae kwamba Arusha inazidi Kampala
List malls za Kampala na Sqm tuoneKampala umeuzidi Dar kwa malls. Labda kama hujafika Kampala.
Unaweza isiadia nikipost malls kutoka DAR .?Kampala umeuzidi Dar kwa malls. Labda kama hujafika Kampala.
Kipande chao kidogo wamekwama hadi leoTujikumbushe
View attachment 2335703
Malls za kampala ni retail stores zilizojengwa kwenye viwanja vikubwa, otherwise in kampala hakuna mall hata moja yenye inawezana na na Malls kubwa za DSMList malls za Kampala na Sqm tuone