woooooiii i cant blv this, hahahaha leo umewashika kwenye korodani hawa viumbe wazito, hahahaaaa, nmecheka sana, MDC hao kwenye ubora wao, halafu ghorofa wanaezeka na bati, hahahaaa, poor kenyan, hii picha ilikua wap siku zote??? basi hapo watajisfu wana estates, yan kwao kota na maghorofa ni kitu cha ajabu sana, kwel ushamba mzigo, wakat huku kwetu ujanja ni kukaa kwenye nyumba yako upate na kagarden kwa nje upande maua ulime na mboga mboga.Its like 1000 shots ndio upate Nairobi CBD (The 2 Old concrete tower CBD) what is there in your Old CBD?
Normal residents hahaha jionee huruma ww ElStill waiting for normal residences where Dar citizens Live........9 months still no signs
Sema na roho yako [emoji4][emoji4]yani CBD imefinyiliwa kwenye corner na uchafu wa mabanda hadi haipumui
Hapo ni jangwani acha ubibiBehind upanga there are some dreamhouses
😀😀😀😀😀😀 upanga unaijua weweBehind upanga there are some dreamhouses
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji85] eti 3rd class tazama video nimezituma maeneo ambayo 3rd class wa dar huishi[emoji13] [emoji13] [emoji13]Huko ndiko watu wa 3trd class huishi huku nairobi sasa nataka unionyeshe wa kwenu huishi wapi??????
dont bother my brother...just do ur thing...stop quoting them...the fact remains...no city beats Nairobi here....Then show me something like that far away from ur one and only CBD,15km away from CBD
hamna kitu cha maana[emoji13] [emoji13] [emoji85]Nairobi
jengenj hayo mabanda yenu kwa mpangiliowaone huruma wabongolala wameti
tena yao hayajakaa kimpangilio kabisa
Haya matundu ya njiwa yapo kibao kule Kigamboni waTZ hawayataki. Hivi vitu vinaendana na utamaduni wa watu. waTZ wanataka kujenga nyumba zao wenyewe na si kuishi mabwenini. Wenzetu huko KE ndio mnaona maendeleo!
sasa utalima wapi? Masenze au kinondoniwoooooiii i cant blv this, hahahaha leo umewashika kwenye korodani hawa viumbe wazito, hahahaaaa, nmecheka sana, MDC hao kwenye ubora wao, halafu ghorofa wanaezeka na bati, hahahaaa, poor kenyan, hii picha ilikua wap siku zote??? basi hapo watajisfu wana estates, yan kwao kota na maghorofa ni kitu cha ajabu sana, kwel ushamba mzigo, wakat huku kwetu ujanja ni kukaa kwenye nyumba yako upate na kagarden kwa nje upande maua ulime na mboga mboga.
hata kwa nchi zilizoendelea huez kuta mtu na pesa ake anakaa nyumba za kota au karent apartment, but kwa wenzetu wakenya kuishi kwenye hivyo vihostel ni development, hahahahaaaaaaaa
jipe moyo....Ndio maana mji wenu haupendeze ata kidogo...kama mombasa tu....
sijui mbona coastal swahili cities zinafanana
kumekaaa powa sana...aisee napapendaga sana[emoji13]Behind upanga there are some dreamhouses