Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niambie Raw material gan mnachukua na kutengeneza products...mbona hiz product za kenya hatuzioni huku

So hayo maroli yote yamejaa raw materials[emoji23]


Ushawahi fika mkuranga, kibaha au bagamoyo ukaona viwanda vilivyopo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwahyo hawana fungu la kujenga barabara ya lami kwenda hosp ya kanda ?wanamaanisha nn wakisema ujenzi umakamilika
Labda ujenzi wa jengo tu. Na hapo wakicheza haijengwi hivyo, bajeti itakuwa inatengwa kila mwaka ila kukamilika mpaka mtu afukuzwe kazi [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
 
Bila shaka mazungumzo yao yataleta tija kwa Taifa na wananchi wake kwa ujumla na siyo kwa wachache.
 
Coloho wameona? 😂
Hii hapa, hata hawaijui. It is right there behind Crystal Rivers. Yani that small area has 3 malls that can beat everything in East Africa outside Kenya. Yani mall Kenya zimekuwa kibao Mkenya atashangaa jinsi hiyo RockCity Mall inatesa Bongo hivo. Hiyo ikiwa Kenya hata hakuna mwenye ataijua.

 
Please remind them that Coloho is in Syiokimau, not Karen or Runda.

 
Actually Coloho Mall and Crystal River Mall are less than 1km apart. See the distance between them.

 
Nimecheki izi picha alafu kuna ngoma imering at the back of my head "kumama papa eeh kumama" 😂
 
Labda ujenzi wa jengo tu. Na hapo wakicheza haijengwi hivyo, bajeti itakuwa inatengwa kila mwaka ila kukamilika mpaka mtu afukuzwe kazi [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…