Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani Bora hapa Kampala kuna majengo mengine yanonekana ni jengo.





Ila majamaa wanavyoongea sikutegemea kuona hii kitu ( CBD) majengo mengine sijui yamefunkwa na magunia?



Bora Kariakoo.
hahahah duh yani hata mwanza ina afadhali
 
Yaani Bora hapa Kampala kuna majengo mengine yanonekana ni jengo.





Ila majamaa wanavyoongea sikutegemea kuona hii kitu ( CBD) majengo mengine sijui yamefunkwa na magunia?



Bora Kariakoo.
That why we are building new CBDS to replace the old one like upperhill,westlands and kilimani
 
jamani enhh render ya montave mumeiona thanks bro😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
stop bro dont show me again mbavu zangu zinaumaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
thanks alot for renders bro 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
That is ngala area and some part of old cbd, so usijiliwaze na hiyo sehemu na bado hujafika robo ya cbd ya nairobi
Acha Kutufanya hatujui lolote, hiyo huko mbele sio upper hill? itakuaje robo wakati ni CBD mbili zinaonekana , na hii picha sio ya siku nyingi sana kwa kuwa kule upper hill KCB Tower, BRITAM na UAP Tower maendeleo ya ujenzi yalikua yanaonekana. Na majengo muhimu yote yapo kwenye hiyo short moja. Times tower, KICC. Endelea kujifariji.
 
Its like 1000 shots ndio upate Nairobi CBD (The 2 Old concrete tower CBD) what is there in your Old CBD?


safi maana picha zao zinaletwa za upande mmoja tu...hebu check hiko kijiji cha nairobi[emoji13] [emoji13] [emoji13] nimecheka sana
 
upanga hata umoja phase 2 estate inafunika mara mbili ....hii Dar yenu na Mombasa haina tofauti

Yaani nyie ni vichekesho eti umoja unafananisha na Upanga? really? I never take anything serious from you guys. talk too much kumbe kutembela kichwa tu kama watu wengine.



Aerial view of overpopulated Umoja estate in Eastlands, Nairobi. Photo/file

 
hawatujui .....kabisa hawa ....hilo naligundua....yaani bora wabishane na wengine ila si wabongo
 
Yaani nyie ni vichekesho eti umeoja unafananisha na Upanga?/ really? I nerver take anything serious from you guys. talk too much kumbe kutembela kichwa tu kama watu wengine.





It's because you don't know nairobi... Eastlands is not a cbd, it's a getto community or better yet a low income earning residential called hustlers. Now you can imagine how high end estate look like.
 
Yaani nyie ni vichekesho eti umeoja unafananisha na Upanga?/ really? I nerver take anything serious from you guys. talk too much kumbe kutembela kichwa tu kama watu wengine.





Then show me something like that far away from ur one and only CBD,15km away from CBD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…