The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Hizi sasa ndiyo picha ambazo zinawastua akili Wakunya juu ya The Rock city, zinaitwa picha za kwenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3059][emoji3059][emoji1241][emoji91]View attachment 2332079
View attachment 2332080
View attachment 2332081
iyo malaika resort ipo maeneo ya ilemela kama ulaya vile kumbe ni TZ mwanza hahaaaaaaaaaaa
Mkuu Wakunya watakuloga πππView attachment 2332073
huo ukumbi wa mikutano upo national mwanza
Hawaamini macho yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu Wakunya watakuloga [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii umekaa poa sanawakunya msiwe mnaongea sana majiji tunayo na highway tunazo *****
π π π π Wajiandae kisaikolojia tuHawaamini macho yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapumbavu hamna kitu wanachonikera kwa wiki hii kama kudanganya wimbo wa jay melody ni wa kwao,yan wanawadanganya watu youtube na tik tok wazi wazi bila kuona haya!Wataita East Africa electric railway , maana kitu kikiwa kizuri kinakua chao na wao
Hili sasa balaa kakaView attachment 2332043
hahahahahaha iyo ni the rock beach
Kisumu na mwanza zinachuana leta evidence zaidiww ni mgeni hapa. uliza na utajibiwa dogo.. hapa ni kisumu dala TECHB View attachment 2332095View attachment 2332093View attachment 2332094View attachment 2332096View attachment 2332097View attachment 2332098View attachment 2332099View attachment 2332100View attachment 2332101View attachment 2332103View attachment 2332120View attachment 2332121View attachment 2332122View attachment 2332123View attachment 2332124View attachment 2332134
Umeitoa wapi hiiTanzania ina Majiji 4 tuu ,
Dar,
Arusha,
Dodoma,
Zanzibar/Unguja ..
Ila tuongeze nguvu kwenye mipango miji na barabara zenye hadhi..
Arusha dream city π₯π₯π₯π₯
KwanguUmeitoa wapi hii
Mwanza inapelekana na eldoret na arusha inachuana na nakuru.. kisumu na Mombasa hazina upinzani upande wa TanzaniaKisumu na mwanza zinachuana leta evidence zaidi
HujielewiKisumu na mwanza zinachuana leta evidence zaidi
Sasa lounge ndani ya terminal yenu imekua Mall hadi kila mtu hata asiye msafiri ana access nalo? π€£ Hivi wakuu hapa mnaelewa? Yaani wewe sio msafiri utoke zako huko ulipo uende KQ lounge kupumzisha kende tu? halafu unarudi zako nyumbani?Kwani wewe ulidhani lounge ni ya wasafiri peke yake?., banda la kuku sio levels ya JKIA bana ππππππ
Banda la Kuku.., linear structureπππ
View attachment 2331165
View attachment 2331166
JKIA the beast..,
View attachment 2331167
View attachment 2331168
View attachment 2331169
Jifikirie upya!Mwanza inapelekana na eldoret na arusha inachuana na nakuru.. kisumu na Mombasa hazina upinzani upande wa Tanzania
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23] wametishaJWTZ residence
View attachment 2331491View attachment 2331492View attachment 2331493View attachment 2331494
Westgate-Shoplifters residence [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2331495
Ni yeye mwenyewe yule jamaa ni ndimuYaani Nape ndio kasema kuwa kipindi cha nyuma vifurushi vilikuwa juu kuliko kipindi hiki kwamba vimepungua wakati watu tunapunguza matumizi ya bundles ili tuweze kudumu muda mrefu?
Nikauliza swali ,ni yeye kweli amesema hivyo kwa akili yake au amewekewa maneno? Wanasiasa bana.
Yaani umeweka filters lakini bado tu it is still below par.., maneno mengi alafu unajilipua mwenyewe hiiππ ndio number two most developed city in Tanzaniaπππ π π π π π π πView attachment 2332036
huu mji auna slums nakuthibitishia ww fisi maji