wilsonwizzy
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 627
- 2,731
kumbafu!The biggest Mall along lake Victoria so far πView attachment 2331866View attachment 2331868View attachment 2331871View attachment 2331873View attachment 2331874View attachment 2331875View attachment 2331877View attachment 2331878View attachment 2331879Lake zone's capital.. Don YF. Mombasa Iko na chochote similar to this.? π€£π€£
Ndivyo walivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ingekuwa kenya zingehesabiwa kama paved road lakini serikali yetu haijawahi kuzihesabu kama paved road
Ndio ujue hawa walishachizika, unalinganishaje mabasi mawili na system yenye zaidi ya basi 300 yenye zaidi ya thamani ya dollars million 500Bus za maonyesho, hakuna hata siku moja ikabeba abiria, eti yanaturingishia sisi wenye functional BRT, hayaoni hata aibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Japo hicho sio cha kwanza, vipo kadhaa kuna kimoja nakifahamu ni miaka mi5 sasaHiz toothpicks hazitoki tena China
kenya mniambie iyo ligi yenu ya maandazi apo nairoo imesha wai kusajili mzungu hahahahahaaaaaa haibu sana kwa wakunyaaaa
Usiwe na haraka, take your time and compare the two, class and status vs ushamba.,Don YF ππ habari unayo, hii sio mombasa ya nyumba chakavu all over brathee .. Mwanza is the second most developed city along lake Victoria, and the second biggest city in Tz .. hakuna uchafu hapo kwenu wa kukaa league ya mwanza. At least hii video imeonyesha somehow venye CBD inafaa kuwa kwa hizo what you call them cities zenu Kando ya NAIROBI ππ
Huyo anakuaga amelewa na Tanzania, anajikosesha ufahamu tu., kila kitu kiko wazi dunia ya leo.., google earth iko, youtube clips ziko, evidence ni kibao, wengi humu ni midomo mirefu tu wanazoππππkumbafu!
nb:
only two samples among more than 30malls within mombasa.
yaani, mambo na malls achia tu kenya, south africa na egypt..
nyali centre mall, mombasaππ½View attachment 2331909View attachment 2331905View attachment 2331906View attachment 2331907
city mall, nyali, mombasaππ½View attachment 2331895View attachment 2331896View attachment 2331897View attachment 2331898View attachment 2331899View attachment 2331900View attachment 2331901
Kama ningekua wewe ningeficha hii aibu.., umeanika ukweli wazi wazi, mwenye macho hambiwi tazama π π π π π π
nimesha waambia kunya people amjui kupiga picha njoo uku mwanza tukufundishe kaziKama ningekua wewe ningeficha hii aibu.., umeanika ukweli wazi wazi, mwenye macho hambiwi tazama π π π π π π
[emoji28][emoji28][emoji28]wabongo atupoi na siwezi kuhama bongo *****
atuna midomo tuna ushahidi ww acha upumbavu wako hahahaaaaaHuyo anakuaga amelewa na Tanzania, anajikosesha ufahamu tu., kila kitu kio wazi dunia ya leo.., google earth iko, youtube clips ziko, evidence ni kibao, wengi humu ni midomo mirefu tu wanazoππππ
najua wakenya kupiga picha amjui tulisha washinda kwenye mashindano mbuzi maji nyieView attachment 2332036
huu mji auna slums nakuthibitishia ww fisi maji