Yaani westlands beats the best of Dar es salaam maana zaidi ya hapa π π nothing substantial to show.., πππππ
Ipo Boss, Hapo hapo pa kusubiria wageni (Arrival Exit) kulia kuna Restaurant na viti kibao vya kukaa na kurelax na kula chochote unachotaka. pia Kulia kabisa kuna Mini supermarket unaweza pata chochote unachotaka . Au ulikuja zamani kabla hawajafungua haya maeneo.Hiyo Airport yetu mpya kwa maoni yangu kama wangeweka Migahawa kama ile ya Airport ya zamani mahali ambapo unaweza kukaa kupata kahawa au kula chochote huku ukisubiri mgeni ingekuwa poa sana, mara ya mwisho nilikuwa hapo kusubiri mgeni aidha utoke nje au ukae kwenye mabenchi ile ya zamani nilizoea kwenda flamingo au kununua kitu madukani kuvuta muda, lkn ni nionavyo mimi inawezekana wengi haliwasumbui hilo!
of course these are not slums. They are middle-class areasWaambie walioiweka ka Nairobi kwenye orodha ya miji yenye ma slums ya kutisha duniani waliisahau Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ipo Boss, Hapo hapo pa kusubiria wageni (Arrival Exit) kulia kuna Restaurant na viti kibao vya kukaa na kurelax na kula chochote unachotaka. pia Kulia kabisa kuna Mini supermarket unaweza pata chochote unachotaka . Au ulikuja zamani kabla hawajafungua haya maeneo.
View attachment 2330932
View attachment 2330934
To live and die in LA. California dreaming beibe....
Hii hapa, nenda kamuongopee babaako [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani westlands beats the best of Dar es salaam maana zaidi ya hapa [emoji115] [emoji115] nothing substantial to show.., [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2330926
Ile siku international organizations zitasema kuna slums Dar uje tuongee, yani ma slums yaonekane ka Nairobi yasionekane Dar ulisikia wapi, najua unaumia sn mpk unaweka picha za mawinguni ili kuweka slums Dar lkn wapii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]of course these are not slums. They are middle-class areas View attachment 2330936View attachment 2330937View attachment 2330938View attachment 2330939View attachment 2330940View attachment 2330941View attachment 2330943View attachment 2330944View attachment 2330945View attachment 2330946View attachment 2330947
Ona mm naweka picha za chini hizi hapa zinaonesha ma slums wazi wazi, kwnn wewe unaweka picha za mawinguni, zoom kama mm tuone hizo slums, ona picha za chini hizi hapa wazi wazi kabisa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]of course these are not slums. They are middle-class areas View attachment 2330936View attachment 2330937View attachment 2330938View attachment 2330939View attachment 2330940View attachment 2330941View attachment 2330943View attachment 2330944View attachment 2330945View attachment 2330946View attachment 2330947
Wewe mrogi mchawi kalilie kwa choo π π π π π π π π π π π πHii hapa, nenda kamuongopee babaako [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2331004
Inauma sana! sura ya jiji 80%.., mwanzilishi wa google earth abarikiwe sana! waongo na wakorofi tunawaumbua mchana kweupeπππππππππof course these are not slums. They are middle-class areas View attachment 2330936View attachment 2330937View attachment 2330938View attachment 2330939View attachment 2330940View attachment 2330941View attachment 2330943View attachment 2330944View attachment 2330945View attachment 2330946View attachment 2330947
Picha tatu za mwanzo ni za mawinguni, picha ya nne haina shida yoyote ni bati tu zina kutu, picha zinazofuata ni za 90s hakuna hayo maeneo kwa ss yashavunjwa ndiyo maana Google hawaoni Slums Tz, picha ya mwisho pia ya mawinguni, mm naweza kukuletea picha za leo leo zenye ma slums wewe huna picha yoyote recently zaidi ya picha za 90s, msifosi tufanane [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe mrogi mchawi kalilie kwa choo [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2331024
View attachment 2331030
View attachment 2331025
View attachment 2331026
View attachment 2331027
View attachment 2331028
View attachment 2331029
View attachment 2331031
View attachment 2331032
Sasa hivi Pako sawa Kabisa. Kuna maeneo haya Nilipita na kuna maduka huko juu pia.Hiyo poa sana, imekuwa muda tangia nilifike hapo, nilifika wakati haina muda mrefu tangia kufunguliwa nafikiri walikuwa bado wako kazini, poa sana!
Onesha picha ya 7yrs ago kati ya nilizoweka nikuwekee palivyo saizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pictures from 7years ago... You must be so desperate
Hawezi kukuelewa huyo airport yenyewe hajawahi kuingia hapo TB3.Sasa hivi Pako sawa Kabisa. Kuna maeneo haya Nilipita na kuna maduka huko juu pia.
View attachment 2331044
View attachment 2331046
View attachment 2331047
Mzigo huu hapa ukijiandaa kukamua masaa kumi na Hewani Mpaka Baiyun [emoji41]
View attachment 2331051
Yaani JNIA iko na launge kienyeji sana π π π π π π ., nikisema sisi sio wenzenu mnanuna., ndio mnatoka porini kwa vile hii imefunguliwa majuzi tu kulingana na kauli yako, haikuwepoππππππIpo Boss, Hapo hapo pa kusubiria wageni (Arrival Exit) kulia kuna Restaurant na viti kibao vya kukaa na kurelax na kula chochote unachotaka. pia Kulia kabisa kuna Mini supermarket unaweza pata chochote unachotaka . Au ulikuja zamani kabla hawajafungua haya maeneo.
View attachment 2330932
View attachment 2330934
Kamwe hawezi weka picha za chini, ukweli wote anaujua vizuri, hapendi watu wakijua huo ukweli, atajifunga "own goal"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ona mm naweka picha za chini hizi hapa zinaonesha ma slums wazi wazi, kwnn wewe unaweka picha za mawinguni, zoom kama mm tuone hizo slums, ona picha za chini hizi hapa wazi wazi kabisa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2331015View attachment 2331016View attachment 2331017View attachment 2331018View attachment 2331019View attachment 2331020
Wao wakiweka picha wanazosema ni slums za Tz wanaweka picha za mawinguni ili nyumba zionekane zimejirundika sehemu alafu waziite slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kamwe hawezi weka picha za chini, ukweli wote anaujua vizuri, hapendi watu wakijua huo ukweli, atajifunga "own goal"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app