Si ulisema ni over 60 comes again the number has reduced to 24?😂Kuna wakati huwa ninaamua kuachana na watu Kama wewe kwa kuhusu uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo Sana.
Kenya human wright watch imesema kwamba 2017 at least watu 24 Kenya waliuliwa
Kenya: Post-Election Killings, Abuse
Kenya’s presidential election on August 8, 2017 was marred by serious human rights violations, including unlawful killings and beatings by police during protests and house-to-house operations in western Kenya, Human Rights Watch said today. At least 12 people were killed and over 100 badly injured.www.hrw.org
Naomba uonyeshe Tanzania 2020 au 2015 kutoka reliable sources, Kama Kuna watu waliuliwa hata nusu ya hao 24.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe ukiambiwa uprove violence unaingia mitini yet unarudiarudia kuimba violence hapa?
Hivi huyu mpumbavu mkuu wa mkoa na wilaya hawaoni huo uchafu wa matangazo kwenye hizo kuta [emoji34][emoji34]kwanini wasifanye mpango wa kuwa punish wote wanao bandika karatasi kwenye hizo kuta na kuchafua kuta
Uhuni mtupu miaka 3 ya kazi gani ? Mwaka mmoja unatosha kabisa hakuna chochote cha maana wanakenda kujifunza cha kuchukua 3yr
kipindi cha JPM asingejibu hivi!Ndo wazir wenu huyuu.. too much ego na kiburi kama mbappe 😀
Usiingilie mambo huelewi wewe, tunaongelea violence since 2013 elections.How quickly we forget how the Tanzanian president had to go to Kenya to tell you guys to stop killing each other just a few elections ago.
A quote from your own president:
“Let me begin by saying that President Kikwete is an old friend of Kenya. It is no exaggeration to say that had it not been for his help in the past, especially after the disputed 2007 elections, Kenya’s history might have been very different.
So for that, we as a nation and as a people are grateful for his input,” President Kenyatta said on October 6 during the joint Kenya-Tanzania business forum at a Nairobi hotel.
Jakaya Kikwete's role in saving Kenya from election chaos
Early this month, President Uhuru Kenyatta acknowledged that Kenya’s history might have turned out differently after the disputed 2007 presidential vote that plunged the country in violence, had it not been for the intervention of outgoing Tanzanian President Jakaya Kikwete.www.standardmedia.co.ke
Hii project kali sana
Nenda Google maana ya interchange na expressway, unataka interchange iwe kama expressway? Ni sawa na kushangaa mbona paa lako halijajengwa kama floor ya tiles ya jirani, mpaka hapo akili yako tumeshaijua!Wakuu,
Wakati ndugu zetu wa Kenya wakimaliza uchaguzi kwa amani na kutoa funzo la hali ya juu sana kwa kuendesha uchaguzi kitaalamu sana huku kila mtu akijipakulia matokeo na kujumlisha bila shida hali ni hivyo hivyo kwenye miundombinu yao.
Kwakweli Nairobi iko mbali sana. Flyovers zao ni za kibabe sana! Huwezi fananisha na kale kadaraja ka kijazi tunakojitapa nako kila siku, Kule Thika superhighway ni balaa, miundombinu ya Nairobi ni kiwango cha Ulaya au China kabisa.
Hapa Dar zaidi ya vidaraja hakuna superhighway yoyote. Hivi tunakwama wapi?
Usiseme tunakwama wapi. Sema unakwama wapi. Wewe utakua umeishia darasa la saba na pia ulikua huzingatii masomo. Yaani kwa kiswahili kilicho nyooka wewe ni Mbumbumbu.
katika ujenzi wa nchi kuna kitu kinaitwa: priorities.
Hakuna mtu mwenye akili hata asiye na akili anaweza chagua kiatu dhidi ya chakula. Kinachoendelea Kenya ni ufisadi wa kutisha kwenye hiyo miradi wajinga wanashangilia.
Wala rushwa Kenya wamejikita kwenye miradi isiyo na tija kwakua wana chao kikubwa kwenye hizo projects. Kiuhalisia, priority ingekua ni food security.
Sisi Tanzania ingawa tunakua na viongozi wa hivyo kama samia lakini still, tunafanya mambo ya msingi kwanza. Hivyo vi flyover ni $100M project. Tukimaliza mammbo ya msingi, vitasimama kama uyoga.
Tatizo lenu hamna akili, onyesha wapi USA wamechinjana na kuuwana kwasababu ya uchaguzi, weka picha tuoneUSA.., kama hauna taarifa.
Kuna watu wamekuja kuchafua hii forum, best you can do is just to ignore themWacha kuongea upumbavu wewe jamaa, Mwanafunzi kutoka chato ndie muuni alietekeleza Madaraja, flyovers, international airports, mahospitali makubwa, the longest SGR in the entire continent, JNHP, Miradi mikubwa mingi pamoja na DODOMA new government City... Na barabara karibu zote mpya Tz zilitekelezwa chini ya usmamizi, haya hao wasomi wa kutoka Dar na Kumalizia elimu zao majuu wanalifanyia nini hili taifa pamoja na wewe mpuuzi mwenzao..?
Why you start from 2013, Israel hadi Leo inazungumzia mauaji ya halaiki yalitofanywa na Hitler in 1940s, Rwanda 1994, USA September Eleven 2001, vipi ninyi hamtaki kuzungumzia your PEV of 2007 which is the most recent than the rest?Usiingilie mambo huelewi wewe, tunaongelea violence since 2013 elections.
Watu Kama hao hakuna sababu ya kujibishana nao, watakushusha kiwangoHuyo jamaa hajielewi a nafikiri akili yetu imefungiwa Dar kama Wakunya akili yao ilivyofungiwa Nairobi, mradi kama electric SGR wenye zaidi ya kilometers 2500 unaopita zaidi ya 65% ya Tanzania tungeamua uwe hizo 'superhighways' anazolalama nazo hapa hapo Dar tungekuwa nazo 200, JNHPP tungeamua iwe expressways Dar tungekuwa nazo 500 lakini akili yetu sio fupi kama wao
Wao ndio wanakuja kutufundishaUhuni mtupu miaka 3 ya kazi gani ? Mwaka mmoja unatosha kabisa hakuna chochote cha maana wanakenda kujifunza cha kuchukua 3yr