Huyu Sonko alikula mpaka Rachel Shebesh.inaitwa mkunjoo! mtu yangu... Esther Passaris and Mike Sonko in Seychelles 🤣🤣
yaani, msambwanda kwa buku jero...
View attachment 2323752View attachment 2323753View attachment 2323754
View attachment 2323786
inaitwa mkunjoo! mtu wangu... Esther Passaris and Mike Sonko in Seychelles 🤣🤣
yaani, msambwanda kwa buku jero...
View attachment 2323752View attachment 2323753View attachment 2323754
Amekuchanganya na yule mdau mwingine kule juu aliyesema analiaibisha Taifa kwa kukosea English. [emoji16][emoji16][emoji16]
Amejiita mtanzania, jorojik.Kwani huyo anatoka bara nchi au gani!?
Amejiita mtanzania, jorojik.
we didn't go down on our knees begging for food. it was just a suprise gift from the kuwaiti gov't, a positive gesture to express a cordial relationship that exist between these two prosperous nations.Vp baada ya kutumiwa zile picha za food donation na joto la jiwe kwani ulisemaje?
akienda Tanzania baada ya hapo usilalamike! BTW alikuwa huko kabla ya election!Lewis Hamilton akiwa Kenya. Lakini sisi hatujipigi kifua kama watu wengine. Wengine hata mjomba wa Yaya Toure akienda kwao lazima wakimbie kupost
hapo umegonga ndipo! masera wangu🤣Nyinyi mnajua hadi majina za governors wetu and their deputies. Hata wabunge mnajua Karibu nusu yao 😃
It doesn't matter but by the end of the total must be the same.It is so simple bongolala. Iko hivi; Kenya has a total of 290 constituencies. Presidential results from these constituencies were uploaded on the portal. Media houses were randomly picking constituencies to tally so how you expected them to have the same figures is baffling.
Let's say citizen started tallying constituencies from the coastal region and NTV started with western region, how are their tallies supposed to be same while tallying is still ongoing? It's common sense bongolala
Unadhani kujenga kiwanda cha kusindika Natural gas ni sawa na kulima miraa?[emoji23][emoji23][emoji23]Dunia nzima inatafuta LNG na inakosa kabisa kumbe wajinga fulani wana LNG kwenye ardhi yao ila wamelala usingizi. Mngetengeneza billions of dollars ikiwa mngekuwa na akili ila hamna. Gas ingewaletea pesa nyingi sana wakati huu ambao kuna uhaba mkubwa wa gas duniani.
What about Tundu Lissu?[emoji23][emoji23]Baba Levo aliongea from experience na ingewezekana angeweka picha au video ya vile vitu Alina Kenya. If you ask Miguna to provide evidence of his claims will he? This guy is simply bitter because of his deportation. A person who spends the whole time hurling insults at the head of state in social media shouldn't be taken seriously. Yake ni mauchungu, nothing else
Kati ya Havana na baba Levo, yupi ni mkubwa?Nyinyi mnajua hadi majina za governors wetu and their deputies. Hata wabunge mnajua Karibu nusu yao [emoji2]
Sifahamu mkuu ila anasema Watanzania kama hatujui Kiingereza tusiwe tunakitumia maana tunaliabisha Taifa na Watanzania, ndipo Joto la jiwe akauliza mbona hawakosoi Wakenya wanapokosea Kiswahili?Huyu Jorojik si wa kule Manyara.
Mkuu samahani Sana[emoji23][emoji23][emoji23]Hahah mkuu mi sijawahi kumkosoa mtu yeyote hpa kwenye swala la lugha labda kama umeniquote vibaya..
He left the forum[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani baada ya kumtumia hii, huyu dopchinski asemaje?
Uzuri ni kwamba hata hii hujapost imejileta yenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]Lewis Hamilton akiwa Kenya. Lakini sisi hatujipigi kifua kama watu wengine. Wengine hata mjomba wa Yaya Toure akienda kwao lazima wakimbie kupost