Aiseee wapi hii [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]
wapi ipo?
Rais atakae ingia,tutakuwa tumemweka Sisi.Tunawatawala kimya kimya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si umeona wanashangaa shangaa hawaelewi wahuni jinsi walivyobadili matokeo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rais atakae ingia,tutakuwa tumemweka Sisi.
Masaki hiyo mdogo wangu, toka huko Ukonga uje ule bata siku moja mitaa hii, kuna club moja matata sana hapo juu, kuna jamaa yangu nilimleta hapo someday hakuamini kama yupo Bongo, akigeuka hivi muitaliano, mara kapita manzi wa kispanish, mara mchina mara Mjerumani, wahindi na waarabu ndio usiseme, bila kusahau ndugu zetu wa Kaskazini wanaokuja kushangaa bahari, a perfect picture of Tourists City, The Might Dar es Salaam.Aiseee wapi hii [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unamjua Jecha ama unamsikia tuu kwenye bomba? Jecha awe observer [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuliza kalio Watanzania tupo site kuamua nani awe nani kunako kunyaland
Dah..Ipo Haile Selassie road. Hili Jenga lina maeneo kadhaa ya Bata na Duty free shop.
Hapa ndio ilipo.
1. Havoc Club, Rooftop, View kali ya jiji from far na Bahari pia.
View attachment 2323071
View attachment 2323072
View attachment 2323073
2. Barometer Bistro
View attachment 2323074
View attachment 2323075
View attachment 2323076
3. Bean there Cafe
View attachment 2323077
View attachment 2323078
Jengo hili lipo karibu na Shoppers Masaki , Ukiwa free mpeleke mtoto mkapige Bata.
Kali sana
Wanaruhusu kupark subaru?[emoji3]Masaki hiyo mdogo wangu, toka huko Ukonga uje ule bata siku moja mitaa hii, kuna club moja matata sana hapo juu, kuna jamaa yangu nilimleta hapo someday hakuamini kama yupo Bongo, akigeuka hivi muitaliano, mara kapita manzi wa kispanish, mara mchina mara Mjerumani, wahindi na waarabu ndio usiseme, bila kusahau ndugu zetu wa Kaskazini wanaokuja kushangaa bahari, a perfect picture of Tourists City, The Might Dar es Salaam.
[emoji846][emoji846]Kama Samuel kivitwu wa kenya alitangazaga matokeo ya Magumashi kunyaland
[emoji846][emoji846]Kama Samuel kivitwu wa kenya alitangazaga matokeo ya Magumashi kunyaland