Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

At this rate results zitatolewa next weekend.
 
Tayari tumeshamtuma Jecha huko siku nyingi tuu. View attachment 2322829
That's an observer bongolala. An election lazima iwe na observers and that's the norm worldwide. These observers come from different parts of the world. Ama ile sarakasi yenu ya 2020 hamkuona international observers from different countries?

Elimika ndugu uache ujinga na mihemko
 
Asichojua ni kuwa lile jengo lilikuwa na kitengo cha mazingira ambacho kiko chini ya ofisi ya makamu wa raisi hence hilo jina.
 
At this rate results zitatolewa next weekend.
The law says it must be out within 7 days so latest ni Tuesday next week. Hata uchaguzi wa 2017 hizo taratibu zote nilizosema zilifuatwa and they still delivered the results in less than 7 days
 
Kuimarika kwa sekta binafsi,Wasafi Airline ya Diamond Platnumz is loading πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220813-120622.png
    191 KB · Views: 23
Hili ni jengo la zamani sina uhakika kama bado linatumika. Hayo uliyoonyeshwa ndio ukweli wenyewe. Hivi mtu ukiambiwa ukweli na kukubali uungwana wako unapotea?
Ililetwa picha humu ya hili jengo likiwa limefanyiwa ukarabati na kupigwa rangi, sema shida ya huyo jamaa ni wivu wa kike tu.
 
Hili ni jengo la zamani sina uhakika kama bado linatumika. Hayo uliyoonyeshwa ndio ukweli wenyewe. Hivi mtu ukiambiwa ukweli na kukubali uungwana wako unapotea?
So far nimeonyeshwa majengo matatu tofauti na kila mmoja anasema alichopst ndio ofisi ya VP. Sasa ukweli iko wapi?
 
Kujichangamsha kivipi wakati jengo lenyewe limeandikwa hivyo?
Hili jengo liko Dar hayo mengine yapo Dodoma ambapo serikali ndipo imehamia. Kuandikwa siyo shida, je jengo linatumika?
 
Tanzania ndio baba wa East Africa bila Tanzania hakuna East African Community. Sisi ndio tunachagua mtu ambaye tunaweza kufanya nae kazi lazima wafanye consultations na Tz kwenye hilo before official announcement.
Habari ndiyo hiyo, timu nzima ya Tz kwa sasa ipo Kenya kuamua Rais ni nani na nani anatufaa kufanya naye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…