Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka evidence gani zaidi ya picha ya lile gofu niliopost hapa?

And please stop beating around the bush. Hizi ni ofisi za machifu huku kwetu na zote zimeandikwa office of the president.

Lakini sisi sote tunajua ofisi ya Rais wa Kenya ndio hii hapa

Nyinyi mnaleta vipicha na kusema ndio ofisi ya VP wenu bila ushahidi wowote kisha mnaanza vijimaneno!
 
Kwa kazi kubwa alioifanya ilikua ni halali apate hata zaidi ya hio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tatizo lenu kila siku hua nawaambia siasa za tanzania hamuziwezi hata chembe nyinyu mumeZoea siasa za ukabila sasa munafkiri kila kona ya dunia kuna ukabila
Nyinyi mna siasa ama sarakasi? πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Uhehehe hii picha ya mwaka gani kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana na sasa nimeamini tanzania inawanyima usingizi
Kwa hilo gofu Tanzania inyime nani usingizi? Una kichaa wewe!
 

Enyewe tofauti yako na kondoo ni harufu tu tena hapo kwenye harufu sidhani kama mna tofautiana.
 
Hivi ninyi mbona hamjui kujenga kabisa? Nini sasa hicho?

Hivi kuna office yoyote ya serikali ya maana Wakunya wenyewe mlishawahi kujenga kwa kutumia akili zenu na maarifa kama hizi za Tanzania?

 
CgcE3
Matiang'i, the most hardworking CS in Kenya used to be called Magufuli wa Kenya[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile
Yani mnajua hadi majina ya mawaziri wetu wakati mimi hapa sijui hata moja huko kwenu! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
So interesting!
 
Hivi ninyi mbona hamjui kujenga kabisa? Nini sasa hicho?

Hivi kuna office yoyote ya serikali ya maana Wakunya wenyewe mlishawahi kujenga kwa kutumia akili zenu na maarifa kama hizi za Tanzania?

Ndio hii hapa tuliyotumia maarifa na akili zetu kijenga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama ingekua vice versa kunyaland ingelipuka yote mpaka TV stations zao na Rais angetangaza state of emergency that kunyaland is control Tanzania's election
Wewe kilaza sana. Yani maoni ya mtu binafsi unayeleta hapa and make it sound authentic? We Kenyans are used to Miguna's theatrics. He isn't new to controversy from way back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…