Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na haya ni makazi ya makamu wa rais dodoma πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ‘‡πŸ‘‡
Umechange gear hewani πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ya Magu kupata 84% ya kura na 90% ya wabunge hutaki tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uhehehe magu bado anawasumbua vichwa vyenu tu πŸ˜‚πŸ˜‚ kisa aliitwa best president in africa

Mlikua munamlilia aje kenya kuitengeza kenya leo mumesahau πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Yule dikteta atamanike Kenya? Kenya ya wapi? Huo ujinga uliisha kipindi cha Moi na wala hatutaman kurudi huko
 
Rais kazindua barabara ya lami ya Tarura huko Kijijini πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220812-224458.png
    153.1 KB · Views: 29
  • 20220712_224206.jpg
    113.5 KB · Views: 30
We taahira Magu ni habari ya dunia, anajulikana kuliko kunyaland
Each second someone must mention Him around the world
Hebu basi tuambie huyo amemzungumzia kivipi. Anasemaje kwenye hiyo tweet? πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ipo Ikulu ya Mda Dodoma na pia kila Mkoa kuna Ikulu but main Ikulu is under construction πŸ‘‡
Hujajibu swali. Tanzania imekuwa na makamu wa Rais since 1964. Huo muda wote makamu wenu wa Rais wawamekuwa wakifanya kazi wapi wakingoja hiyo ofisi ya Dodoma ikamilike?
 
Tanzania inakuwanga na uchaguzi ama sarakasi na vioja?
 
Anasema uhuru aache kufake data za barabara badala yake awe the man of action kama Magufuli alivyo fanya huku southern Highlands

Pole bongolala kwa maumivu. Sijaona jina ya Uhuru hapo. Endelea kujifariji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…