joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hivi ninyi mliposhabikia sakata la Ngorongoro na Loliondo, na mlipotangazia Dunia kwamba Tanzania ni Italy ya Africa kipindi cha Corona kwamba watanzania wanakufa na kudondoka barabarani, mlikua mnatuombea mazuri?
Hivi ninyi wakenya mnaposambaza chuki dhidi ya watanzania mbona hakuna watu wanaosema mnajivunjia heshima?Hamna tatizo ikiwa unata Raila au Ruto ashinde. Tatizo ni kwamba wewe unaomba machafuko yatokee Kenya na bado unategemea watu wakuheshimu kwenye huu uzi? Tunavumilia kauli yako ya chuki kwa sasa kwa sababu tunakuheshimu, lakini ukiendelea na hio kauli basi utajikosea heshima na watu hawatakuvumilia tena. Una uhuru wa kuzungumza lakini sidhani kama una uhuru wa kusambaza chuki mitandaoni.
Leo wanatengeza video kufananisha masaki na ushuzi unaitwa runda πππ
wakunya ni wanafiki sanaHivi ninyi mliposhabikia sakata la Ngorongoro na Loliondo, na mlipotangazia Dunia kwamba Tanzania ni Italy ya Africa kipindi cha Corona kwamba watanzania wanakufa na kudondoka barabarani, mliokua mnatuombea mazuri?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wacha ujinga. Unaonyesha upumbavu wako humu. Idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura ni 22 million. Idadi ya watu waliopiga kura ni 14.3 million.Wakunya bhana kura zilizo hesabiwa zinazidi idadi ya wapigaji kura halafu kuna watu wanasema kuna kitu cha kujifunza kwao πππ
99.9% of Danganyikans are dimwits with low IQ
Unajaribu kusema kwamba SGR ya Kenya haina marshalling yard au unajaribu kusema nini? Kwa sababu sikuelewi.the whole of Kunyaland haina facility kama hii ati yet wana SGR!
CC: KENPAULITE, Teargass, nairobae NairobiWalker, mwathadan n Tony254
Wewe ni mtu mzuri lakini tatizo lako ni kuwa unaamini kauli za kila mtu humu ndani hata za uongo. Huyo Fundi kitasa anadanganya wazi wazi na wewe unamuamini haraka sana. Jifunze kuhoji vitu kwa undani kabla ya kuamini. Yaani inaitwa "critical thinking". Sio kwamba kila kitu kinachowekwa humu ndani ni cha kweli.Hao ni bendera fuata upepo tu kila kinachofanyika nje ya nchi yao ni kizuri kuliko cha kwao. Kutokuthamini vitu vyao ndio uzalendo eti. Nawaonaga wapuuzi tu.
Uzuri chuki yako ya Kenya hakibadilishi chochote. Utabaki kuishi maisha ya uchochole hapo Tanga au kokote unapoishi.Hivi ninyi wakenya mnaposambaza chuki dhidi ya watanzania mbona hakuna watu wanaosema mnajivunjia heshima?
1)Mlisambaza chuki dhidi ya Tanzania katika kipindi cha Corona, mlijitahidi kuhakikisha Tanzania inatengwa na Dunia, mlifikia hatua ya kuzuia ndege toka Tanzania kutua Kenya.
2) Wakati wa uchaguzi Tanzania, mliungana na watu waliosema uchaguzi haukua wa huru na haki, tofauti na ripoti za waangalizi wa uchaguzi
3)Sakata la yule dada wa Nigeria kule Zanzibar mlianzisha kampeni ya kushawishi Dunia kwamba Zanzibar sio salama ili watalii waogope
4)Mnajua mlilofanya kwenye Sakata la Ngorongorio na Loliondo.
Kwahiyo ninyi mnavyotufanyia haya yote kwenu mnadhani ni sahihi?.
The best 007 endelea kuandika vile unavyojisikia, hawa jamaa ni washenzi hawana ustaarabu wowote, Mimi binafsi ninazidi kumuomba Mungu hawa wanyama wachinjane.
Mlichagua tuishi maisha ya uadui, kwahiyo msilalamike
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe unatoka wapi na propaganda. Hii we umeskua wapi?Wakunya bhana kura zilizo hesabiwa zinazidi idadi ya wapigaji kura halafu kuna watu wanasema kuna kitu cha kujifunza kwao πππ
Hawa dada zenu cheki wanavyo enjoy life in TZ. Vipi warudi ama tuwaoe kabisa?
Lipi ndo siyo sahihi?Kwahiyo kwako wewe yule anayekubaliana na wewe ndiye mkweli, hata Kama unalofanya sio sahihi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Me kwa maono yangu heri Tanzania ijiondoe kwa jumuia ya Africa mashariki Waka ungane na ya kusini.... Tunasumbuana sana huku.... Hata hivo ukiangalia kwenye ramani Tanzania Iko south si eastwakunya ni wanafiki sana
kuchezea bembea ndio amani πApart from few isolated cases huku ni amani tu πππ