Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa mkuu..

Ila inaonekana mna chukua... Uwe unakuja base hapa JF kututembelea. Sio ukishapewa nafasi unatoroka jumla.
 
Niliwaambia nyinyi ndo muende shambani mzalishe vyakula sisi tuna Hela za kuvinunua shida Iko wapi hapo Tena? Inchi yenyu Ina rotubaa nzuri kwa hivo chimbeni sisi tununue maneno ya njaa imetoka wapi?
Eti mna hela 😁😁😁😁
Serikali yenu isingewalipia unga basi fukara ninyi
 
Mtu umempa mkataba hata hujamkabidhi site unataka 10% sasa huoni tatizo ni sisi wenyewe? Mkandarasi anapeleka certificate ya kudai malipo unamlipa kwa wakati wako huo mradi utakamilikaje kwa wakat
Ni kweli 10% inasumbua na kuyumbisha miradi mingi sana, mbaya zaidi unakuta hata aliye juu ndio anaanza kupiga kwahiyo hata wa chini nao wanakula kwa urefu wa kamba yao.Nani amfunge Paka kengele?

Siku tukipata viongozi wenye maono wasioangalia maslahi yao binafsi hakika tutapiga hatua.

Hivi China hawali rushwa huko kwao?
 
Ingependeza sana vyombo vya habari kama wangekuwa wanachukua matokeo sehemu moja hii ya kila tv kuwa na matokeo yake tofauti haina afya kabisa.
Matokeo yakitofautiana inaweza kuleta vurugu na sintofahamu kwa wafuasi wa wagombea.
 
Kipaji chake alichonacho na nchi aliyopo. Hivyo tu viwili vinamfanya awe tajiri mkubwa.
 
It's official WSR has it!!!! But.......


The ONLY results that matter in your life:

- Your blood sugar test

- Your blood pressure test

- Your waist-to-height ratio

- Your weight to height ratio

- Your total body fat percentage

Take care of your health. Your health is your most important asset.

Moving on 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…