Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatujui nani atashinda kati ya Ruto na Raila. This thing can go either way. It is too close to call. Let us just wait.
 
Uliyoyasema ni sahihi kabisa, inatakiwa nia ya dhati kwa viongozi wetu kuamua kujenga uchumi wa nchi zetu. Magufuli aliweza, na kilichoitisha dunia siyo maendeleo tuu ya Tz bali kuamsha viongozi wengine wa Afrika kuwa, sisi tunaweza.

Hata hivyo kuwa mzalendo tuu haitoshi, ukiendekeza mambo ya "domokrasia", na kumchekea nyani utavuna mabua. Maadam kiongozi mzalendo anayetaka kuleta mapinduzi ya kiuchumi ataandamwa kivyovyote vile, bora mwai iwe mbwai, ondoa wote wanaopinga maono la sivyo utaondolewa wewe.
 
Haya maneno ni makali sana kwa baba kumtamkia mtoto wake, sasa ni nini alifanya wrong mpaka mzee wake akamtolea laana [emoji848][emoji848]
 
Kabisa mkuu kuna maamuzi hayahitaji kubembelezana lasivyo hautafika unapotaka kwenda. Kama Ndiyo iwe ndiyo, Hapana na iwe hapana.

China ya leo ni msingi aliouweka Mao Zedong na comrades wake. Afrika tuna safari ndefu sana.Angalia Libya ilivyokuwa nzuri kipindi cja Muamar Gaddafi.

Sasa hivi Walibya wanaikimbia nchi yao.
 
Karibu sana mkuu endelea kutupatia updates mnaipemdezesha Tanzania yetu, kwahiyo hapo mnaondoa moto wenu au mnaboresha miundombinu?
Hapo kuna overpass itajengwa uelekeo wa kutoka barabara kuu kuelekea machinjion.. nyingine tumepitia majumbasita.. so tunaangalia na kuadhimia huo umeme/nyaya karibu na overpasses ziwekweje ili isilete madhara
 

Ukute UK na WSR huwa wanakutana usiku kunywa chai halafu wanasema huyu boya hataamini tutakacho mfanya saa hii wacha nijifanye niko na yeye [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanakimbia demokrasia😂😂
 
Hapo kuna overpass itajengwa uelekeo wa kutoka barabara kuu kuelekea machinjion.. nyingine tumepitia majumbasita.. so tunaangalia na kuadhimia huo umeme/nyaya karibu na overpasses ziwekweje ili isilete madhara
Safi sana mkuu. Patadamsh ile mbaya.
 
hivi, ni mimi ndo nimedakwa, ama nimimi nimedaka kamtu.. eti kikombe cha bati, anadai eti kimetengenezwa na porcelain![emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…