Ngoja tusubirie mshindi atangazwe na uchaguzi uishe kwa amani.yaonekana, hawa watu wanapelekana hapa kwa hapa.. hii race ni noma sana.
nb: hawa watu wawili wanatoshana nguvu
View attachment 2319598
Bado hatujakat tamaa mpaka mwisho ndio tutajua nani ni nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fans wa Odinga kutoka kenya habari za asubuhi. Naona mko kimya sana.. hamuamin kinachotokea [emoji2]
Acha basi, tunangoja mpaka mwisho [emoji848][emoji849][emoji849]Haya wajaluo mjiandae na vita nilisema kenya haitashikwa na mjaluo zaidi ya
Makabila mawili tu wakikuyu na kalenjin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu naye ana mdomo sana halafu hawezi ubishi, akiguswa kidogo anasingizia anaonewa kwasababu ya ulemavu wake.
MY TAKE
Halafu kuna watu kama Manara wanaleta migogoro na mitafaruku sijui hawaoni mafanikio ya timu zetu na pia sports academies zinazojengwa na sasa nafasi ya ku-host African Cup of nations!?
Wahii! Kwa hiyo hata sisi tunaomshabikia Raila Ikulu tutaisikilizia Kibera mkuu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]?Mm nasubiri michinjo tu, tangu lini mkikuyu akamuunga mkono Jaluo, Uhuru akaona ili kumuua kabisa Raila akajifanya kumsaport akajua mapungufu yake akayatumia kumuweka mkalee Ikulu. Nyie Majaluo kina Nicxie Ikulu mtaisikia mpk mnashuka kaburini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm mwenyewe nilitaka Raila ashinde sema nkikumbuka hawa wajaluo a.k.a govindaz the likes of Nicxie naona safi tu.Wahii! Kwa hiyo hata sisi tunaomshabikia Raila Ikulu tutaisikilizia Kibera mkuu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]?
Jtano ndo leo. Wazee wa kazi tumefikaSafi. Jtano keshokutwa tutafanya site visit hapo kuangalia ishu za umeme. Nitatupia picha picha nikifanikiwa
Semaji/mhamasishaji wa kidimbwi yuko wapi? [emoji1787]
Odinga anashinda huu uchaguziBado hatujakat tamaa mpaka mwisho ndio tutajua nani ni nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo chuki zako kwa hawa wajaluo wa humu umeamua kumnyang'anya Urais baba wa watu ili uwakomoe wabaya wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm mwenyewe nilitaka Raila ashinde sema nkikumbuka mbwa za kijaluo a.k.a govindaz the likes of Nicxie naona safi tu.
Raila ndio anaweza waletea Kenya maendeleo lakini kama wakichagua kikabila imekula kwo Ruto ni mpigaji.Mm mwenyewe nilitaka Raila ashinde sema nkikumbuka mbwa za kijaluo a.k.a govindaz the likes of Nicxie naona safi tu.
Kweli mkuu ngoja tuone hadi mwisho, ila ashinde kwa haki siyo kwa goli la mkono [emoji3][emoji3][emoji3]Odinga anashinda huu uchaguzi
Karibu sana mkuu endelea kutupatia updates mnaipemdezesha Tanzania yetu, kwahiyo hapo mnaondoa moto wenu au mnaboresha miundombinu?
Wewe unadhani Watanzania wanaitakia Kenya mema? Kwani hujui Watanzania ndani ya hii forum wana roho mbaya na Kenya?Raila ndio anaweza waletea Kenya maendeleo lakini kama wakichagua kikabila imekula kwo Ruto ni mpigaji.
Waachane n ukabila lasivyo itakula kwao. Odinga ametulia.Raila ndio anaweza waletea Kenya maendeleo lakini kama wakichagua kikabila imekula kwo Ruto ni mpigaji.
Mpaka late morning ameshapunguza gap kubwa na bado kwenye counties nyingi anaongoza.Kweli mkuu ngoja tuone hadi mwisho, ila ashinde kwa haki siyo kwa goli la mkono [emoji3][emoji3][emoji3]
Sisi sote ni ndugu moja tuu wakoloni ndio wametugawa ila wa Tz kiuhalisia hawaitakii kenya mabaya ila ni utani uliopitiliza tuu hata kwenye mpira wetu wa Simba na Yanga tuko hivyo hivyo baada ya mechi tunakunywa beer pamoja.Wewe unadhani Watanzania wanaitakia Kenya mema? Kwani hujui Watanzania ndani ya hii forum wana roho mbaya na Kenya?