Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii video ya huyu Mkenya imelipuka sana huko twitter. Hii translated version ina zaidi ya 400 comments na wengi ni Wanigeria na Wasouth Africa ndio wanacheka na kufurahia kwenye comment section.
 
Hehehe najitokeza,kulinganisha gharama hakufanyi mue level moja na Jozi,mbuzi mwenyewe,uko serious unamsikilzia uyo choko anaongea kama demu ufala gani huu
Sikuiangalia hyo video, nilijua huyo ni demu kumbe dume!! Ila sishangai cz Wakenya wengi ni mabwabwa ndio maana wanaweza wakakaa kimsikiliza huyo muuza utumbo.
 
Duh aiseee [emoji848][emoji848][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hio MGR station ya Kenya ni kali kushinda SGR stations za Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…