Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

am still echoing the sentiments of this my bro here tuusan πŸ™πŸ½
 
Wewe unaona ni wapi?.., hauamini macho yako? hapa ni Dar es Salaam mjukuu, tazama bahari., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 2314907
Hiyo ni outdated facility bro, ni aibu kujenga vitu vilivyopitwa na wakati Alaf uposti humu kwa majigambo.. kwa nchi kama Tz yenye iko na kila aina ya daraja. Ficha aibu zenu
 
Mbona maumivu na iko wazi sana? ni kazi ya Uhuru Kenyatta, kamwana ame deliver! sio makosa yetu, zoea 8 lanes road (bridge) outside Nairobi.., Mombasa city, size ya Dar., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


Wakati inajengwa.., unaona hiyo ni size ya ile foot path yenu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo ni outdated facility bro, ni aibu kujenga vitu vilivyopitwa na wakati Alaf uposti humu kwa majigambo.. kwa nchi kama Tz yenye iko na kila aina ya daraja. Ficha aibu zenu
#8lanes., usibadilishe argument, zoea 8 lanes bridge.., kama mnayo Tz weka hapa tuoneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimerudi. Sasa nina muda. Video gani hio unazungumzia? Mambo ya kupishana kulia au kushoto huwezi kujua kwa kuangalia aerial view.
 
Kumbe 450 ni kajua 1km [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani hata wami bridge ni ndefu na ipo tanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]tena ukisogea mbele kidogo ya hilo daraja lao linajifinya linakuwa 2lane
 
Tukikuambia hapa ni Kenya unabwatuka tu. Tukikuambia rais Uhuru ndio kazindua 8 lane bridge jana unapinga. Sasa natumai unaweza kuona tent ambayo ilihost sherehe ya uzinduzi jana. Unaona hio tent ya white sio?
 
Haijawahi kutokea nikashangaa na kusikitika kama hivi leo, hivi ni vitu vya kawaida sana hapa Bongo.
 
Umeumia mjukuu.., hapa ni Makupa bridge!.., wakati Uhuru ana launch, hauni tent pale kati kati? hii imewauma kama vile expressway, nilisema na bado, mtalia zaidi siku zikiendelea., 8 LANES!πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

 
Nimeshangaa sana kumbe hii nyumba na thamani zilizomo ndani ni high class?
Angesema nyumba nzuri tungemuelewa, lakini high class basi wako chini mno hawa jamaa.

Tiles na sofa n.k mbona ni vitu vya kawaida.
Kwao ni vitu vya thamani sana hivyo 🀣🀣🀣 naakati bongo hivyo ni katika kila nyumba itakayojengwa na yeyote yule lazima iwe na tiles tena za kisasa
 
Siwezi zungumzia dwarf shit Bro, excuse me
Stay away kabisa, nyambaffπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kamekosa jibu ya 8 lanes eti dwarf, respect to Mombasa city, kichapo cha mbwa kokoπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…