Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu haya maneno yalisemwa kabla ya Urusi kuivamia Ukraine, kwamba Urusi inategemea Ulaya na Marekani katika masoko na kila kitu kwahiyo haiwezi anzisha vita na Ukraine

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unafikiri Urusi yuko poa economically na hizi sanctions? Hapo alipo ana suffer sana what they do now is to use a smokescreen to paint a good picture on their economy but truly speaking their economy is in deep recession.

Alot of people are jobless baada ya makampuni kujitoa plus production ime plummet to all time low, supermarkets shelves are empty, brain drain ndio usiseme.

Mpaka Russia anaenda kumuomba Iran drones za vita unafikiri mchezo kabanwa ila anajitahidi kufa kiume.

Putin ameharibu nchi iliyokuwa inaendelea vizuri sana kiuchumi na kuiridisha to Soviet era style.
 
Hivi ni vitu viwili tofauti, mwenzoni ilisemwa kwamba hawezi anzisha vita, lakini alianzisha vita ila Sasa kila mtu anapata athari kutokana na hivyo vita, hata uko Europe hali sio shwari, kila nchi inapata "joto la jiwe" kulingana na urefu wa uchumi wake.

Mkuu, China Ina uwezo mkubwa wa kuhimili mikikimikiki ya uchumi kuzidi Urusi na nchi nyingi za Ulaya endapo akiamua kuanzisha vita, sioni sababu yoyote ya kuizuia China kufanya itakavyo huko Taiwan.

Europe wamejifunza Sana kutokana na vita vya Ukraine, hawapo tayari tena kuungana na Marekani huko Taiwan, Uchumi wa Marekani na China wanategemeana Sana, nchi zote mbili zitapata athari kubwa Sana za kiuchumi, lakini Kama ambavyo USA na Europe wanaisadia Ukraine ili kulinda "teriterior integrity ", China itafanya hivyo hivyo kwa upande wake.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Three Kenyan Banks in the top 15 most profitable banks in Tanzania.

1659518406235.jpg
 
Hakuna vita isiyokuwa na athari pande zote mbili. Mpaka kufikia kuanzisha vita ni upuuzi na kiburi tuu cha binadamu vita does not benefit anyone.

Mimi sioni concern yoyote juu ya Russia au China kuwa threatened na nchi za magharibi hii feeling yao ni hyped na uoga wa kuwa democracies kwa kujificha kwenye kichaka cha cold war mataifa yanapaswa kushindana kwenye economic front na sio vita mfano mzuri ni mahusiano kati ya Japan na western countries hakuna bad feelings between them their relationship is purely business.

Russia at one time before Putin had agreed to integrate and make necessary democratic changes it was a period of unprecedented peace the world had ever seen but when Putin came into the fold kila kitu went down south.

Here we are today so sad
 
Kenya Power to pilot electric car charging stations in Nairobi, Nakuru

Wednesday, August 03, 2022
1659519552497.png

Electric car at a charging station
Pool
By Brian Ambani
Nation Media Group
Kenya Power will next month begin a six-month trial on electric car charging stations in Nairobi and Nakuru as it sets its eyes on new revenue streams from e-mobility.

The company is seeking to grow electricity sales to leverage the growing e-mobility industry that has seen increased demand for electric vehicles amid high global fuel prices.
Car owners have been looking at alternatives to lower their transport costs, including switching to electric vehicles and converting their vehicles to use liquefied petroleum gas (LPG).

RELATED​

  • Kenyan car buyers shift to hybrid models in droves​

    Business 3 hours ago
  • State to audit electric cars impact on fuel tax revenue​

    Business 3 hours ago
Kenya Power is now planning to pilot an e-mobility network infrastructure system (Enis) in Nairobi and Nakuru for six months to check its feasibility.
Full implementation of the project will see the company build home, business, and public charging infrastructure across the country to make it easier for EV owners to charge their vehicles.
Read: Driverless cars won’t be good for the environment if they lead to more auto use
“The proof of concept phase will be used by Kenya Power to develop and pilot the proposed e-mobility system in a scaled manner within Nairobi and Nakuru,” said the company which is seeking electric vehicle firms to undertake the trial.
The company said the trial will help it collect key data on the potential of the EV charging business before it commits to rolling it out on a full scale.
“The phase will give Kenya Power a hands-on experience to evaluate the potential and complexity of e-mobility ecosystem before a full-scale implementation,” it said.
The Ministry of Energy projects new vehicle registrations in the country to grow at a rate of four per cent across all categories annually, with motorcycles and passenger cars accounting for more than 80 percent of all new registrations.

The electric vehicle market in Kenya is, however, nascent and remains small.
Data from the ministry shows there were only 350 electrical vehicles in the country in 2018 although the number has grown since as new EV assembly firms continue to set up shop in Kenya.
Read: Why electric cars will take over sooner than you think
The government aims to increase the number of EVs in the country to 53,800 by 2040 if 29 per cent of new vehicle registrations are EVs.
The EV business is part of Kenya Power’s strategies to increase revenue after already diversifying into the home and business internet market.
Kenya Power said in March it can supply the electricity needed to charge electric vehicles and motorcycles during off-peak hours.
The company said it can supply electricity to charge 50,000 buses and two million motorcycles during off-peak hours. This is based on its estimates that an electric minibus operating within Nairobi covers approximately 200km daily and consumes an average of 120 kilowatt-hours (kWh) at Sh2,400.
The company said it has created a liaison office that will act as a one-stop shop to champion its e-mobility business.
Through the office, Kenya Power will work with other stakeholders to support the development of the e-mobility eco-system, which will include the identification of sites for potential charging stations, as well as requisite geo-mapping software to enable users to locate the nearest charging station.
Several private firms and State ones, such as the Kenya Electricity Generating Company (KenGen), have also stepped up preparations for a shift to e-mobility. KenGen has, for example, already installed an electric vehicle charging station in Nairobi and revealed that it will ship in electric cars to test the station and help with data that is key to boosting policy legislation for e-mobility.
 
Itakuwa ujinga kuibadili TAZARA cape gauge kwenda SGR wakati nchi zote za SADC bado zina Cape Gauge huko ni kujitia kitanzi kwa kuondoa seamless movement of trains!!

Kuna faida gani kiuchumi kuwa na train toka South Africa kuja Tz na watalii 30 Vs usafirishaji wa mizigo mingi zaidi kama vile Shaba kati ya Zambia na Dr Congo na Bandari ya Dar ?
 
Kuna faida gani kiuchumi kuwa na train toka South Africa kuja Tz na watalii 30 Vs usafirishaji wa mizigo mingi zaidi kama vile Shaba kati ya Zambia na Dr Congo na Bandari ya Dar ?
Kwani nani kakuambia Cape Gauge haiwezi kusafirisha shaba ilivyokuwa inasafirisha toka 1975? Wacha ujinga wewe intra SADC trade inawezekana kwa cape gauge na si SGR ambayo haipo! Kwani unafikiri SA wajinga kuendlea kuwa na Cape Gauge?

Au Angola na Mozambique ambao wamejenga na kufufua zao juzi? Zimbabwe nao wanajenga yao kwenda Mozambique coast na itakuwa Cape Gauge pia! Sababu kuu ni kwamba hawafikirii cargo ya nchi moja! Plan nayojua mimi ni ku-modernize Cape Gauge iliyopo (ikiwemo hata kui-electrify) na kui-extend ifike Burundi na Rwanda!

Other than that ni kujiondoa kwenye biashara ya SADC cargo nje ya Zambia! Akili ya kiabunuasi! Angalia message ya Hichelema hajataja SGR! Bongo, tuna waandishi makanjanja sana! Yaani tuondoe link ya Dar-Lobito, Dar-Lubumbashi-Kolwezi, Dar-Harare, Dar-Walvis Bay, Dar-Gaborone, Dar-Lilongwe, Dar-Nacala, Dar-Pretoria, Dar-Port Elizabeth, Dar-Port Elizabeth na Dar-Durban kwa ajili tu ya SGR!

FXoQ1ARVUAIDbfP

Back
Top Bottom