joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Wachana na huyo jamaa, utapoteza heshima yako bureMzigo unaongezeka sababu ya Samia au sababu bandari zimejengwa na kuboreshwa kipindi cha JPM?
Ni nchi ndio maana imewapita kwenye hiyo verificationBurundi ni nchi ama ni kibanda?
Physics is the process Mr. Obvious, getting the person who did it right is history. I am an engineer by profession, what are are you?
Weka tuone mkuu ili tujue nani mkweli[emoji23][emoji23][emoji23]Hivyo ndivyo uliambiwa na sisiemu ama uko na udhahidi?
Mchoraji huyo, kaenda chuo kusomea kuchora. Huku kwetu watoto wanachora kuliko yeye na hawajaenda shule wala nn, eti Engineer [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Which field of engineering to be specific,
And don’t tell me you are an architect,
Architecture is not engineering.
I am a Driver by profession.
Hili ndio zao pekee mnaweza kuzalisha, ila kwa upande wa chakula mnafanya maandamano ya kuomba ruzuku kwenye unga. Failed stateThank you Somalia
🤣🤣🤣 Wacha hasira mkuuBurundi ni nchi ama ni kibanda?
Hahaya, Comoro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ubaya zaidi nyie ndio hamto pata hiyo nafasi kabisa mana kwenye kupiga kura hampo hata namba tatu 🤣🤣🤣You're not going to host the headquarters of EAC and also the Central Bank.
Better start rubbing that into your heads.
Hahahaha, Tanzania is the Father of EAC, without Tanzania there is no EAC, have you forgotten the story of CoW which failed because Tanzania didn't take part?[emoji23]You're not going to host the headquarters of EAC and also the Central Bank.
Better start rubbing that into your heads.
Ubaya zaidi nyie ndio hamto pata hiyo nafasi kabisa mana kwenye kupiga kura hampo hata namba tatu 🤣🤣🤣
Huo ndio ushauri wa kitaalamu whether you like it or not EA Central will be in Tanzania.You're not going to host the headquarters of EAC and also the Central Bank.
Better start rubbing that into your heads.
Hahahaha, Tanzania is the Father of EAC, without Tanzania there is no EAC, have you forgotten the story of CoW which failed because Tanzania didn't take part?[emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mtangoja sana.Huo ndio ushauri wa kitaalamu whether you like it or not EA Central will be in Tanzania.
Google simbu utapata majibuHio ni heats tu. Hakuna Mlazy aliyeshinda chochote.
Tatizo wakunya hawaaminiki maana ni vigeugeu bosi wao mzungu akisema neno kwao ni sheria . Ndio maana members kama Uganda , congo, Burundi lazima waunge mkono benki iwe Tanzania labda Rwanda kwa sababu wanafanana tabia na wakunya wanaweza support hao nyang'auFinancial hub ya jua kali kazi kupika data hatutaki msije mkaharibu uchumi wa EA kwa mapishi yenu. Halafu hamna ubavu wa kutoka EA kaeni mtulie dawa iingie kama hamtaki Central Bank iwe Tanzania sisi tunaanzisha CoW mta join baadae [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mchoraji huyo, kaenda chuo kusomea kuchora. Huku kwetu watoto wanachora kuliko yeye na hawajaenda shule wala nn, eti Engineer [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣 Ngoja kwanza, kwanini hautaki sisi tu host hiyo facility .? Mbona unaumia sana.?The process will be repeated until Nairobi is selected. Take that to the bank.
We can give you the HQ and the parliament, but money issues is where we draw the line.