dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
kumbe durban sio noma sana venye nilidhania 🤔I usually pity those Tanzanians that always try to compare Mombasa with Dar es salaam.
Mzigo unaongezeka sababu ya Samia au sababu bandari zimejengwa na kuboreshwa kipindi cha JPM?Mwaka wa kwanza tuu wa SSH mizigo imeongezeka mara dufu,Jiwe alikuwa anazingua Sana kwa propaganda..
Lakini inachoipa faida Mombasa port ni nguvu ya Uchumi wa Nchi yenu,the same to South Africa..
Tukikuza Uchumi,hiyo volume itaongeza..
Pia tuna bandari zingine so tukijumlisha kwa pamoja tunakaribia hiyo figure ya Mombasa.👇
Weka mzigo unaotoka nje ya Kenya kama unazidi tons million 2 naondoka JF 😁😁😁😁I usually pity those Tanzanians that always try to compare Mombasa with Dar es salaam.
Tena heavy spenders sio backpackers kama wa jirani 😀😀😀Hawa watalii kama vipi tuwapunguzie na jirani kdg [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wakachokagi? 😁😁😁Mnatujazia server kwa ku post picha zile zile kila saa.
Nigeria yenye GDP kubwa kuliko South Africa hii hapa capital city yaketuusan, please heb na tu heshimiane hapa, s.sudan $3b👇🏽View attachment 2310531
nb: we are only looking at the nominal gdp and not ppp..
so hebu subtract $9b tafadhali....
so 133-9= $124b! ie. (tz+ug+rw+bu+ss)
whereas kenya alone........ $126b (2022)👇🏽
View attachment 2310492
Mzigo huo Mnahudumia nchi ipi ya jirani sasa hata tons million 2? 😀😀😀😀kumbe durban sio noma sana venye nadhania 🤔
coz i still remember around 2003/04, we used to be told durban port, dwarfs mombasa port upto 12fold!!
na sasa....." hii dunia ni duara nanii.., usiwe na kibri....
aliye juu mngoje chini.
mpanda ngazi atakuta mwana si wake😆
asiyefunzwa na mamaye, mama yake sio 'madam'.
paka akiondoka, atarudi tena
maskini akipata hela, matter core huli
asiye kubali kushindwa, si nadhania wabongo tu jameni..
View attachment 2310501
unasema nairobaa the only city, il hali ata mji kama mombasa hamna..Mtaenda wapi? Mkiambiwa the only city hapo Kunyaland ni that filthy dirty Nairobi mnabisha! Ona sasa Arusha imeipita Nairobi by far!
kila siku nakusihi zingatia pia na idadi..Nigeria yenye GDP kubwa kuliko South Africa hii hapa capital city yake
Back home! There's no difference from Nigeria at allkila siku nakusihi zingatia pia na idadi..
ke47m $114b
tz62m $67b
ngr230m $490b
sa60m $419b
hii isikusababishie bp💓💗
Hilo chizi hilo huwa tunali ignore mkuu, linakuambia mzigo umeongezeka kipindi cha Samia hapo hapo linajisahaulisha kwamba hizo bandari kazitengeneza JPM tena kipindi ambacho dunia inapitia hali mbaya ya uchumi kutokana na Corona.Mzigo unaongezeka sababu ya Samia au sababu bandari zimejengwa na kuboreshwa kipindi cha JPM?
Ni majinga kweli kweli makunya, kila siku vipicha vile vile vya expressway ya mchina mana vighorofa vya GTC ambavyo navyo vya mchina,wakibadilisha wanapost vi estate wamemaliza, zen wanavizungusha zungusha hivyo hivyo daily wanadhani hatuwajui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi wakachokagi? [emoji16][emoji16][emoji16]
Mtaenda wapi? Mkiambiwa the only city hapo Kunyaland ni that filthy dirty Nairobi mnabisha! Ona sasa Arusha imeipita Nairobi by far!
Hii apa hii 👇.unasema nairobaa the only city, il hali ata mji kama mombasa hamna..
nb:
ni tz ndo nchi lenye jiji moja tu! in a land mass 947,000km²
View attachment 2310647View attachment 2310650View attachment 2310649
😀😀😀 Yaani mazingira yanawalazimisha kuspend na wanapenda sababu ni sehemu ya utalii, hapo KIA penyewe wakifika unakuta nusu ya abiria kwenye ndege wanakula mwewe kwenda Soronera moja kwa moja na wengine wanatumia gari.Tena jana kuna wazungu walikuwa wamekata tiketi ya kwenda Kilimanjaro lkn walisema walikata tiketi hiyo kwa bahati mbaya kwahiyo walitaka kubadilisha waende Arusha, ila kwa bahati mbaya ndege ya Arusha ilikuwa imejaa, hivyo tukawashauri waende tu Kilimanjaro alafu wakifika pale wachukue gari faster wataingia Arusha. Hapo unaweza kuona yn Tz kuna Airpot nyingi mpk raha aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
just let go, and concede defeat. a kick of a dying horse is always a real kick 🐎Mnatujazia server kwa ku post picha zile zile kila saa.
Mbona kuna neno hakuna matata sasa wakati nyie mnajua kingereza kiswahili cha nini?