Talking about GDP; loans to GDP ratio of over 80% does not augur well for Kenya to be considered, also currency management in Kenya is way out of good practice, corruption index high, political uncertainties etc all these factors were not in your favour despite having the biggest economy at least on paper and well developed banking system.Kaburundi hakajatushinda kwa chochote.
Hiyo ina represent proportion gani ya Watanzania? Could be Tanzanians living in Kenya or those who have their children in Kenyan schools.coodip1 The best 007 chongchung joto la jiwe
Mlikuwa mnasema kwamba Watanzania hawajali siasa za Kenya. Someni huu uzi umeshafika ukurasa wa pili.
Kenya2022 - Ruto vs Odinga Agosti 9/2022
Kwa mtizamo wangu Ruto anazidi hoja na hadi sasa anaonekana kushawishi kundi kubwa la vijana wa kenya. Mambo makubwa mawili yanayo mbeba Ruto. 1. Ufasaha wa kuongea lugha ya Kiswahili. Kwenye kampeni zake Ruto anaonekana kutumia lugha ya kiswahili zaidi kunadi sera zake na hivyo kueleweka na...www.jamiiforums.com
Uzi huu pia umefikia kurasa wa pili
Kenya2022 - Bi. Martha Karua na siri ya Ushindi wa Urais wa Mzee Raila (Baba)
Mimi kama Nabii niliona Wiki Tatu zilizipita Raila odinga akiapishwa kuwa Rais wa Kenya baada ya Uhuru Kenyata kumaliza muda wake , Hongera saana mzee Raila Odinga ............Tenda haki katika utawala wako...... Sidhani kama uko sahihi mimi sio matajiri lakini kabila kubwa kama...www.jamiiforums.com
Halafu wapuuzi humu ndani walikuwa wanasema kwamba Watanzania hawafuatilii siasa za Kenya.
For example ukiangalia the mens marathon, wakenya walioturepresent hawafall in the top 20 Kenya's fastest marathon runners this yearPorojo
We nae u update hizo data za Tz kwenye kichwa chako kila siku unaweka data mpya za Kenya ila za bongo unaenda na zile zile..Kenya gdp $110B IS NOT EQUAL TO $133.66
Atleast uwe na Adabu
Tanzania gdp $67.77B
Uganda gdp $40B
Rwanda gdp $11B
Burundi gdp $2.9B
S.Sudan gdp $11.99B
Ukishindwa kubali mzee ,vijisababu vyote hivyo ni vyanini.?For example ukiangalia the mens marathon, wakenya walioturepresent hawafall in the top 20 Kenya's fastest marathon runners this year
Most of our elite athletes wanachoose kukimbia races ziko na pesa na prestige. Kama Eliud kipchoge atakimbia berlin marathon this year where the winner anapata kama 30m(tsh 600m)
π€£π€£π€£ Baba usilazimishe vitu we jamaa those kinda bridges bongo pia zipo mingi tu .. Ila kitu kama hiki πYes it's a footbridge au unajifanya huoni the road below. It's even mentioned in the GTC towers construction description. Tunajua nyinyi ni washamba hamjazoea hizi vitu.
Footbridge Kenya ziko over 100 hata skybridges pia tunazo mob na hatupigi kelele za chura hapa.
View attachment 2309709
Nyie ndio munapata leo huku zipo za kumwaga πππ
Siwezi bishana na mtanzania about footbridges. Unataka kucomapre GTC na hio soko chafu umepost hapo. Hio soko hata lift haina.π€£π€£π€£ Dar has less than 10 footbridges. π€£π€£π€£π€£ Unajua hata Pangani Girls a highschool in Nairobi ikona footbridge.π€£π€£π€£ Baba usilazimishe vitu we jamaa those kinda bridges bongo pia zipo mingi tu .. Ila kitu kama hiki πView attachment 2309748hii ni footbridge enye Iko na lift haiunganishi tower mzaeee π€£π€£ hii kitu ni ya kwanza EA na hakuna popote pale, kama ipo huko kwenu leta hapa.. vitu unaleta wewe ni kama hivi πView attachment 2309753View attachment 2309754and guess what, our footbridge is above four lanes road.. and as I'm talking to you right now chini hapo inajengwa BRT ..
Hio ya Arusha inavuka public road gani? Usiwe mjinga bana. πππHizo footbridges zenye unapost wewe nairobae zipo hapa bongo way back .. hii hapa ni ARUSHA international conference center πView attachment 2309772View attachment 2309773View attachment 2309774tena zipo tatu tatu kabisa sio moja kama hizo zenyu, hatuwahi Zi zungumzia hizi kwasababu sio big deal tumeshazizoea.. ila hii sasa πView attachment 2309781View attachment 2309782hakuna kitu kama hiki uko kwenu
Kukuelezea kitu wewe ni kupoteza mudaSiwezi bishana na mtanzania about footbridges. Unataka kucomapre GTC na hio soko chafu umepost hapo. Hio soko hata lift haina.π€£π€£π€£ Dar has less than 10 footbridges. π€£π€£π€£π€£ Unajua hata Pangani Girls a highschool in Nairobi ikona footbridge.
yaani wakilipuana ni vita ya tatu ya dunia maana the US itabidi a-concentrate na China, Japan ataingilia pia upade wa the US wakati Europe itabidi washughulike na Russia peke yao! Mitaa ya middle east kuna Iran lazma alianzishe na Israel au Saudi Arabia!Ni noma
Yes huwezi jua importance because bongo mzima you have no highway with controlled access. Bado munatumia Zebra crossing hadi kwa highways.π€£π€£π€£Footbridge, seriously?
How old are you?
Nionyeshe elevator kwa hio soko chafu umepost nifunge account. πππKukuelezea kitu wewe ni kupoteza muda
Kwahyo hii enye ulipost inavuka public road sio.?Yes it's a footbridge au unajifanya huoni the road below. It's even mentioned in the GTC towers construction description. Tunajua nyinyi ni washamba hamjazoea hizi vitu.
Footbridge Kenya ziko over 100 hata skybridges pia tunazo mob na hatupigi kelele za chura hapa.
View attachment 2309709
Hio ya Arusha inavuka public road gani? Usiwe mjinga bana. πππ