Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,224
- 107,847
kwani ikiwa si ya umma inaondoa the fact kwamba ni footbridge ya kwanza East and central Africa yenye elevator? Yenyu ipo wapi yenye elevator? Yaani hata reli tunawagonga Tanzania ni the first place in East Africa kuwa na reli!Ooh. Sawa. Nilidhani ni kwa ajili ya umma. Ila kama ni hivyo basi ipo sawa.
Sasa wataalamu mnao mnashindwa nn kujenga ili kujitosheleza? Kwnn mnaishi maisha ya uongo uongo, mnapata faida gn?Jirani ndiye ametulipa tumjengee. Kengen imelipwa na serikali ya Ethiopia kuichimbia geothermal wells. Kengen haikutumia pesa yake kuchimba hizo geothermal wells.
Nani amekuambia kwamba hatujitoshelezi? Hii ni agreement ya kununua umeme ya ziada kutoka Ethiopia pale tutakapohitaji. Kwa mfano wakati wa kiangazi hydroelectric power stations huwa hazizalishi umeme wa kutosha. Kwa habari yako Kenya tuna surplus electricity, yaani tunajitosheleza. Hii ya Ethiopia ni kwa ajili ya kujipanga wakati itakapohitajika. Pia tunapanga kuondoa thermal power (diesel) from our grid kwa sababu ni expensive. Sasa hii ya Ethiopia itasaidia kuziba gap hio baada ya thermal power kuondolewa kwa grid.Sasa wataalamu mnao mnashindwa nn kujenga ili kujitosheleza? Kwnn mnaishi maisha ya uongo uongo, mnapata faida gn?
kenya has surplus electricity as we currently speak and there also other power projects that have not yet been connected to the grid.Sasa wataalamu mnao mnashindwa nn kujenga ili kujitosheleza? Kwnn mnaishi maisha ya uongo uongo, mnapata faida gn?
Naivasha is the backbone of Nakuru County.Hii Naivasha imeanza kupea Nakuru Compe venye naiona. It is growing so fast.
Huyo jamaa wa Ethiopia ni mshamba sana. Hata hajui kusalimiana mbele ya Camera.Utiaji saini kati ya Kenya na Ethiopia kuhusu ununuzi wa umeme.
🤣🤣🤣 Ndio hivyo tena hakuna budiKwahiyo tumekubaliana East Africa nzima footbridge yenye elevator ipo moja tu, dahh kweli Africa bado sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soma vzr👇👇👇👇Unajua nyinyi hamna footbridge nyingi ndio maana mnaona ni kama maajabu. Sisi huku Kenya tunazo zaidi ya footbridge mia moja na ndio maana unaona huwa hatuzipost kwa sababu ni vitu vya kawaida huku. Lakini hio yenu ipo sawa.
Leo nilipata nafasi ya kufika Agakhan 👇View attachment 2308104View attachment 2308105hii pedestrian bridge imekaa unyama sana, it's still underway tho... Kenya huwezi patana na pedestrian bridge enye Iko na lift. Tony254 Don YF
Mkuu, Bill Gate anasaidia nchi nyingi ikiwemo huko Marekani, lakini ni utovu wa shukurani kumchagulia mtu wapi apeleke misaada yake. Hata wewe ukiwa tajiri upo huru kusaidia mtu na nchi unayotaka.Ukipita downtown za miji 50 mikubwa Marekani utapata simanzi jinsi ya kiasi kikubwa cha watu wasio na maakazi (homeless). Kwa nini hizo shukrani asizirudishe kwa raia wa wenzake wasio na makaazi ambapo ndipo alikojipatia utajiri?
Nafikiri TRC wangeweka kwenye footbridges zote za stesheni zao ili kusaidia walemavu, wazee na wagonjwaKwahiyo tumekubaliana East Africa nzima footbridge yenye elevator ipo moja tu, dahh kweli Africa bado sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hasira za kukamata na kuuza mifugo yenu sio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatuwezi nunua umeme kutoka kwenu.
Vipi mnaenda kuzalisha umeme kwa jirani wakati kwako bado huna umeme wa kutosha?, then unarudi kwa jirani huyo huyo kununua umeme huohuo uliomjengea wewe[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]Jirani ndiye ametulipa tumjengee. Kengen imelipwa na serikali ya Ethiopia kuichimbia geothermal wells. Kengen haikutumia pesa yake kuchimba hizo geothermal wells.