Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thanks for putting some sense into his mind. The guy is static and can't think outside the box.
Stop your stupidity, I told you go and read about
1)Primary hypertension, which forms over 80% of all patients diagnosed with HBP, the cause is not known.this type of HBP can't be cured, but can be managed

2)Secondary HBP is the one which covers the remaining 20%. Hiyo ndio hiyo ambayo husababishwa na hizo sababu mbalimbali, hii inaweza kutibiwa Kama sababu itagundulika mapema na kuondolewa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ukishindwa battle nyoosha mikono juu yaishe tutakuelewa, vimaneno maneno vya nini.?, DODOMA kuna facilities nyingi na zingine huwezi pata popote pale nje ya NAIROBI, Dodoma ni kila kitu mzee ni mji of it's kind, usitake kulinganisha na vitu vyenu hivyo
 
Inakuwaje wale waliopata corona na kupona (natural immunity) huwa hawapati tena hata kama kirusi kina mutate?
Bado wanapata kikija kirusi ambacho kiko tofauti kidogo though infection inakuwa mild sio kama ambapo hukupata chanjo kabisa. Ila kikija kirusi hichohicho hutaweza kuumwa maana immune system huweka memory ya immune cells against that particular microorganism kwahiyo infection kama ya mwanzo ikirudi it takes a shorter time ku trigger immune cells into action unlike kama ndio mara yako ya kwanza kupata hicho kirusi immune system inachelewa ku act it may take anything from 7 -14 days doing library search kwasababu inatafuta the correct immune cell ya kuweza ku lock huyo virus from a immune library ambayo ina bilions of cells of different types all selected through a complicated immune system called complement immune system.
 
Just simply deduce its economic value, wacha kelele, it is just a mere town kilaza, not an economic or industrial zone umeshika hilo? ndio maana inaitwa administrative and political capital kama Washington DC ama Abuja ya Nigeria na Dar es salaam inaitwa economic capital, hakuna siku Dom itaipiku Dar, maybe aesthetics na mpangilio, uelewa wako finyu sana, wewe ni wa aesthetics, yaani muonekano na vipicha hapa na pale, but ikija quality analysis as far as economic value is concerned nah, uko hovyo, na usikasirike leo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Stop using words that you don't understand. Primary hypertension is also known as chronic hypertension, they are untreatable.
 
Mbona zote hazifanani, kuna mRNA kama pfizer na kuna zile za kawaida kama za novavax.
Both works just the same. They both introduce part of the virus into the body. This part is then replicated into a form that can be recognized by the immune system. Later on the replicated part of the virus may turn against the body and this where now the second infection comes in.
 
Haya Dom iko mbele sasa kwenye international. 3-2 so far Tony254 unasemaje hapa, tuendelee ama tusiendelee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuhamie kwenye hospital sasa tukitoka hapo kwenye train terminal, bus terminal, airport, hotels, housing, industries etc
 
Kama nilivyokwisha kutangulia kusema DODOMA haijatengenezwa tu kuwa political capital, and that's why unaweza kuona uwekezaji wa viwanda kilimo na miundombinu mingi ya kiuchumi, ndio kipaumbele chetu, kitu pekee wewe unaweza jitahid kuonyesha ushindani kwa Dodoma ni quality of pictures zenye unapost otherwise huwezani na DODOMA bablai.. na tafadhali usinilishe maneno, sijawahi sema popote kama DODOMA itakuja iizidi DAR ..
 
In 2021 tuliingiza around $1.3b na nyinyi around $1.5b despite nyinyi kuwa na alot to offer in that sector.
Geza mkakua serious kidogo mnafaa kuwa level ya kina SA, Egypt na Morocco. Mko na alot to offer hata kushinda hizo nchi




MY TAKE
Hii barabara ianze kutanuliwa kuwa dual carriage ASAP! Maana hii plan ya 6 bln inahitaji miundombinu pia! Zile kelele za ati JKIA inahudumia watalii wa Tanzania, zimekufa kibudu!
CC: Tony254

 
Kwanza anajua BNF ni nini?
 
I think concept is similar but the two don't necessarily work the same.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…