Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

so unataka kusema wakina Wako, Mutunga na Mutua ni graduates wa 1960s? Una wazimu aisee! hebu ingia profile zao utaona wamesoma UDSM late 70s to mid 80s!
That wasn't the point, point ni ati imeshuka, n numbers going there across Africa has reduced since 60s, 70s and 80s, other universities have come up and even overtaken University of Dar by far.., do u know what entails university rankings?.., find out u will understand what I mean.
 

Ruto needs to get atleast 90% of Mt. Kenya votes to be the president. Azimio only needs 30% to scatter the dreams of Ruto. So between the two sides you can see Ruto is the one facing un uphill task after campaining there for 8 years.
 
Madhara ya kutafuna mirungi mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kameweka kabisa na ushahidi kwamba Mkapa na Kikwete waliwahi kusoma Kenya, kajamaa kanaumizwa sn na jina la Tanzania kana wish ingekuwa Kunyaland [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wameanza kupeana vitasa wenyewe kwa wenyewe, ukabila mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wameanza kupeana vitasa wenyewe kwa wenyewe, ukabila mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna chenye unaelewa, nenda kapambane na Chama Cha Mafala (CCM) yenu kwanza kisha uje 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…