kenya we have multi million dollar projects going on.. ni venye sisi hatujabarikiwa kupiga kelele kama madugu zetu wa kusini.
i've just researched, our infrastructure budge quadruples tht of Tz! in 2022. kenya nchi ya gdp..
the on going isiolo stadia👇🏽
View attachment 2299960View attachment 2299962View attachment 2299961
the on going eldoret stadia👇🏽
View attachment 2299963
Nikukavu ila inawezekanaWapande miti sana
Huwa wanazinguaga maana hata taarifa ya fungu ya bajeti itakayotolewa hapo kwaajili ya huo ujenzi hatuna taarifa nayo rasmi maana joketi kaingia juzi juzi tu..wazo limetoka kwa jokate na hata halikuwa kwa plan ya serikaliIla kwa hili wameanza hapo Mwembeyanga nimeona greda linasawazisha. Wakiishia hapo hapo na yakabaki kwenye papers naenda kuwadai pongezi zangu...sipangiwi nitawapa wengine [emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Tatizo serikali yetu haifikirii hivyo hapo mpaka atokee kiongozi msimamizi wa kutekeleza mamboKweli mkuu hali si nzuri.
Watengeneze task force inayoundwa na watu kutoka Wizara ya Ardhi, Maliasili na Ofisi ya Makamu wa Rais na Muungano hasa NEMC.
Hii iwe na jukumu la kuhakikisha DODOMA yote inakuwa ya kijani, lakini kutegemea watu wa Wizara moja au kitengo kimoja haitaleta matokeo ya haraka.
DODOMA ni makao makuu ya nchi lazima iwe na taswira nzuri ya kuvutia na Kuwa mfano kwa miji mingine. Miti inapendezesha mazingira yoyote,iwe kijijini au mjini.
Waliotisha kwa signature bomba ni Tanzania na burundi hao wengine wametufanyia miyeyushiSignature ya mlevi wa Kenya [emoji1]
View attachment 2300447
Nimependa hii picha kaonekana mremboon top of maluku luku, she is the best 1500m champion in the whole world! the 8th yr running and very consistently
c/c Geza Ulole, pia huyu vivian kipyegon ni mkale[emoji1427]
View attachment 2300468
my broda from another mother.. mambo na stadia tuwachieni kwa sasa.. hivi around 20 ultra modern stadiums under construction at various counties.. now counties are competing who will build the best stadium.. hebu turejelee hili swala, say in 3yr, upigwe na butwaa🙀 ile hatua tutakua tumepiga..
Huyu dada anajitahidi. Apewe support ni maono mazuri nimependa idea yake.Huwa wanazinguaga maana hata taarifa ya fungu ya bajeti itakayotolewa hapo kwaajili ya huo ujenzi hatuna taarifa nayo rasmi maana joketi kaingia juzi juzi tu..wazo limetoka kwa jokate na hata halikuwa kwa plan ya serikali
We fikiria boss Mpango anatokea Kigoma ambao ni mkoa wenye kijani kibichi, mvua za kutosha, Wizara ya Mazingira iko chini yake, nilifikiri angekuwa mkali na mwenye maono ya kuifanya Tanzania kuwa ya kijani zaidi lakini amekuwa mpole sana sijui kwanini.Tatizo serikali yetu haifikirii hivyo hapo mpaka atokee kiongozi msimamizi wa kutekeleza mambo
my broda, mambo na stadia tuwachieni kwa sasa.. hivi around 20 ultra modern stadiums under construction at various counties.. now counties are competing who will build the best stadium.. hebu turejelee hili swala, say in 3yr, upigwe na butwaa[emoji79] ile hatua tutakua tumepiga..
[emoji1431] the blessing of having a devolved system of government.. it has come with lots of blessings. we are now witnessing unbelievable infrastructure developments even at the remotest of counties.. the likes of turkana, marsabit, garissa, wajir, mandera, isiolo and wht have u
Kunyaland ipo na ban toka FIFA haiwezi ku-host international matches kwa vile haina uwanja wenye hadhi!Mkiona uchafu huyu kondoo anazosema ni "ultra modern" hutoshangaa mbona wakale kitu wamepewa ni meno tu.
Kunyaland ipo na ban toka FIFA haiwezi ku-host international matches!
Shame as CAF bans Kasarani and Nyayo Stadiums from hosting international matches
Confederation of African Football (CAF) on Friday banned Kenya’s two main stadiums, Kasarani and Nyayo, from hosting international matches.www.standardmedia.co.ke