NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,315
- 19,674
Kuna restaurant level tofauti. Wewe ukija Kenya utakula kwa hizi za scrapes.Nimekuambia kwanini mnatumia maskrepa kama utensils mpaka Karne hii hutaki kujibu πππ
Hii ni restaurant Nairobi mpaka wageni wanatumia lakini vyombo vyake kama Magereza, hapo bado aina ya chakula
View attachment 2298263View attachment 2298264View attachment 2298265
Ziweke hapa, pia sisi tuzifahamuTanzania tuna aviation schools almost kumi na tano
Pia kale kajengo ni haibu tupu,watafute pia eneo lingine la HQ ikiwezekana waende dodoma siku za mbeleniTFF wanatakiwa wafanye jambo karume . Eneo lipo mjini sana kiwanja kikubwa lakini kipo under utilities , wajenge uwanja mkubwa pamoja na maduka kwa nje maana demand ya milango ya kufanyia biashara maeneo yale ni kubwa
kenya we have multi million dollar projects going on.. ni venye sisi hatujabarikiwa kupiga kelele kama madugu zetu wa kusini.New Mwembe Yanga Recreational Park
View attachment 2299811View attachment 2299812View attachment 2299813
Wanazingua sanaWakenya Mnazngua sana ..View attachment 2299910
Njaa haina baunsa hamuwezi vumilia kununua unga msile. Labda mfuko ulitobokaBongolala, I know you want to sound knowledgeable but you aren't. In fact, you are not even close to being knowledgeable about this issue. Is it not the role of the government to control the prices of basic goods and services within the country? Kama bei ya unga ilipanda kuna shida gani serikali kufanya subsidy ila bei ishuke? Ama wakenya waendelee tu kununua unga kwa bei ya juu kisa wewe umesema?
Even with that high price, were Kenyans not still buying maize flour? Ulisikia walisusia kununua Unga kisa bei ipo juu leading to losses in supermakets and retail shops? Stop beating around the bush and using examples za mambo hata huelewi. Mfumuko wa bei ikifanyika ni jukumu la serikali kufanya juu chini ili kudhibiti bei and subsidy is one of the mechanisms used. Stick to posting Kibera photos please coz that's what you know best!
kenya kweli wanazingua sana aisee.... damn it! ππππWakenya Mnazngua sana ..View attachment 2299910
Kisumu ni kijiji cha pili kwa uchafu after ka Nairobi ukitaka evidence sema nikupe.
aisee.. mshikaji wangu The best 007, mzee wa pande pande.... haya basi ndo hizi picha zingine za pande pandePicha za upande upande kama kawa, we all know that after good 20yrs GoK have succeeded to build only 1% of the so called 3 city, most of the area in that village is so bare or simply you can say it's uncovered. So, go and lie to your grandma.
Sasa kama hujui hata viwanda wakenya ndo vitongo kwa mabosiShamba la bibi lazima tulikamue. Tanzania wakijua wewe ni mkenya huwezi kosa kazi, hata kama hakuna nafasi wataitafuta mpaka itokee. Alafu mkenya halipwi sawa na mtanzania hata wafanane kimasomo. Endeleeni kutu tajirisha wakati kenya ndugu zenu wanasugua masufuria ya vyombo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
Kama render mwanangu [emoji8][emoji8][emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 2299731View attachment 2299732View attachment 2299733View attachment 2299734View attachment 2299735View attachment 2299736View attachment 2299737
Chinese class artillery accuracy football field [emoji23]weee... usicheze na kdf. kdf ni moto ya kuotea mbali [emoji378][emoji378][emoji378]........[emoji95] [emoji91][emoji91]
View attachment 2300002View attachment 2300003
ni uwivu baina yetu wenyewe kwa wenyewe. hivi kila mtu anajiona ama anataka kua baabeIntra-regional export. Africa tuko chin sana.
Shida ni infrastructure au hatuaminian?!
View attachment 2300010
Ndio maana nimekuuliza huyo kilaza mwenzako ataje ni lini wakenya walisusia kununua unga kutokana na bei kuongezeka. Msaidie kilaza mwenzakoNjaa haina baunsa hamuwezi vumilia kununua unga msile. Labda mfuko ulitoboka
Tunawalisha hao [emoji1787]Tanzania ndio source kubwa ya remittances za Kenya hapa Africa, ikifuatiwa na South Africa, kwa duniani nzima.
World wide the biggest sources of remittances for Kenyans are
1)USA
2)UK
3)Canada
4)UAE
5)Tanzania
6)Australia
7)South Africa
8) Germany
9)China
10)The Netherlands
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app