Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

which year? [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , utanyooka, Mombasa ni Dar mjukuu, zoea bana[emoji23][emoji23][emoji23]
So hayo majengo mliyavunja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani nyie kiswahili kinatunika wakati gani
Na huwa mnasema ni Cha kwenu😁😁😁😄😃😀🤣🤣
 
Royal tour inazidi kuchanja mbuga.

Baada ya Ufaransa na South Korea sasa ni zamu ya China 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220720-092404.png
    115.4 KB · Views: 18
aki bongo mna shida.....


eti sasa hii chips mayai ndo chakula bomba ya machizi mtaani bongolalaView attachment 2297456




na whereas huku, hii chapati madondo, ndo chakula bomba ya wasee mtaaniView attachment 2297455
Sisi chapati tunakula asubuhi na supu ..kuna mkenya mmoja alikuja tz jioni akawa anatafuta chapati akupata ila asubuhi alitaka kula chapati na chai kufika sehemu ya kuuzia akashangaa watu wanapiga supu na chapati anasema ilikuwa sherehe ya kula ngama ya kongoro ndipo alipo jaribu supu na chapati ..anasema toka siku hiyo amekuwa addicted na supu ya kongoro na chapati hadi leo.wakenya mmalia chakula dhiki sisi tunalia chakula furaha
 
Waulize NATO KILICHO WAKUTA WALIPO TUMIA AKILI ZA KIJINGA KAMA HIZO KWA URUSI
 
I am sorry to show you this, but it is how majority of Kenyans live
Who feeds you, controls you.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ila mimi nawasifu wakenya wanapitia dhiki kuu maishani mwao ila wabishi kwenye maisha kweli kweli awakati tamaa ...shule zao ni mbovu nyingine zipo kwa slum ila vijamaa vinasoma hivyo hivyo hadi vijue kiingilishiii
 
Kenya

As of March 31, 2022, the number of active1 mobiles (SIM) subscriptions in Kenya stood at 64.9 million. This dropped from 65.1 million subscriptions recorded by the end of December 31, 2021.

The subscriptions represent a mobile (SIM) penetration rate of 131.4%.

“The decline in SIM subscriptions is partly attributed to the ongoing SIM registration exercise during which a number of SIM cards have been deactivated,” the report stated.

During the period under review from January to March 2022, mobile penetration dropped by 2.5 per cent, attributed to the review of the country’s population figures from 48.7 million to 49.4 million as per the Economic Survey 2022.

GSMA report ranked Kenya as the third country with the highest number of smartphone connections at 52 million, behind Nigeria and South Africa.

Ethiopia

Ethiopia recorded 58.54 million cellular mobile connections at the start of 2022, equivalent to 49.1 per cent of its population.

Between 2021 and 2022, mobile connections in the country increased by 9.4 million (19.2 per cent).

With 29.83 million users, it still lags in internet penetration rate at 25 per cent.

Tanzania

At the beginning of 2022, the East African country boasted 53.81 million mobile connections.

With its population standing at 62.39 million, 86.2 per cent of its people had access to mobile phones.

Tanzania had 15.6 million internet users, indicating that over 75% of the population had been left in the dark.




[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] as usual kenya leads
 
Watangaze mafia na kilwa hili wawekezaji kama hao waje
Tatizo rais tuliye naye low vision pia ni mbaguzi aliye jificha awezi kuruhusu visiwa vya tanganyika kuleta ushindani zanzibar ....kumbe angejua kufanya hivyo kunge saidia watalii wapate sehemu nyingi za kutembelea tz hivyo kuongeza matumizi ya pesa na kuongeza muda wa kuishi tz na kuongeza mipango ya kurudi mara kwa mara tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…