Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who feeds you, controls you[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yani hii insha yote ni kwasababu ya kuambiwa kwamba anayekulisha anakutawala, kwani ww huamini huo msemo? Si unaona serikali yenu inavyopigaga magoti kwa GoT [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nchi ya one party dictatorship hata haina presidential debates.
 
Hiyo lugha ya mkoloni ambayo mnaongelea na lafudhi ya gikuyu ndio unaiona ya maana sana au?
 
Gikuyu debate[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
@Tony254 Kenyans can't afford even this?, really?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…