Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama anataka kuwapiga angewapiga saa hii kabla hawajajoin NATO. Wakishajoin NATO hawezi kuwagusa kwa sababu ya article 5 ya NATO. Natumai unafahamu article 5 ya NATO inasemaje?

Cc ichoboy01
Yeah! Ila Putin hii vita imemuonyesha jinsi alivyo dhaifu kutoka siku 3 hadi miezi 5,vita si mchezo na jeshi si lelemama wasemavyo jeshini. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Upo kama mimi, na hata nikigundua vyombo vimetumika kupikia hiyo mboga bado nitaona kinyaa.
Kumbe tuko pamoja, ule utelezi tu yaani hamu yote inakata huwa ninawaza mdudu mmoja ambaye ananitia kinyaa, huyu nadhani kwangu ni namba moja hapa duniani.
 
Yeah! Ila Putin hii vita imemuonyesha jinsi alivyo dhaifu kutoka siku 3 hadi miezi 5,vita si mchezo na jeshi si lelemama wasemavyo jeshini. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hii vita putin anatumia kama siasa ya kiulimwengu na ujue hii vita inaenda kuangusha NATO na wao washajua tayari kua wamezidiwa akiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo hawataji EA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanzo nilikuwa sijawaelewa. Sasa hivi ndio nimepata kujua, kumbe kizuri chao peke yao kwa kuwa kimefanyika kwao, ila chetu kizuri ni cha wote...hiki chakula ni cha wageni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa mkuu, mimi ni wa St. Kayumba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu utapiga nyundo [emoji122][emoji122][emoji122][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Mbona umetype kwa rough kama unakimbizwa πŸ˜‚πŸ˜‚..
mara tunawatch debate zenu za kiingereza, mara hatufanyi presidental debate sababu hatujui kiingereza.. sasa kama hatujui kiingereza tunaangalia debate zenu za kiingereza za nn?
Pili, kwan presidental debate lazima iwe kwa lugha ya kiingereza? Acheni utumwa wa kilugha nyie wakunya
 
Hii vita putin anatumia kama siasa ya kiulimwengu na ujue hii vita inaenda kuangusha NATO na wao washajua tayari kua wamezidiwa akili[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mkuu? Siyo kwamba yeye ndio inamcost sana [emoji846][emoji846]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…