Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naomba nitoe homework kidogo kwa wakunya. Naomba mniletee total distance ya all kinds of transmission lines zilizoko kenya. Mim recent data za Tanzania ninazo. Nataka kuona uhalisia wa connectivity na access to electricity yenu ilivyo
 
Naomba nitoe homework kidogo kwa wakunya. Naomba mniletee total distance ya all kinds of transmission lines zilizoko kenya. Mim recent data za Tanzania ninazo. Nataka kuona uhalisia wa connectivity na access to electricity yenu ilivyo
unaota wewe.. kuanzia lini kenya na tz ikala kwa sahani moja na tz....lcd na advanced economy haina uhusiano wowote
 
Flyover? Mbona hapo reli inapopita mpaka barabara kubwa ya majumba sita ni distance ndogo tuu inamaana barabara itakuwa kama interchange pale kwe nataa?
 
Ubaya wenu huwa mnapenda ubishi sana, tukiwaambia tumewa-double kwenye access to electricity mnapinga. Post uliyoweka inasema kwamba Tanesco ilikuwa na chini ya 2.9 million customers in 2020. Naweka post inayosema kwamba Kenya power ilikuwa na 5.9 million customers in 2017. Sasa punguzeni ubishi wakati mwingine, kwenye mambo ya access to electricity sisi tupo ligi nyingine. Huwezi kulinganisha 2.9 million customers na 5.9 million customers.


Kenya Power confirms 5.9 Million customers connected to the grid​


Nairobi, March 20, 2017…..Kenya Power has confirmed that 5.9 million customers have been connected to the grid to date through ongoing government-led national electrification programmes.
Of these customers, 3.5 million customers are on prepaid meters, as the Company shifts to advanced technology that makes it easy for customers to purchase electricity.
β€œThe number of households currently connected to the national grid stands at 63 per cent of the national coverage. The target is to connect 70 per cent by the end of this year and universal access by the year 2020,” said Kenya Power’s Ag. Managing Director & CEO Dr Ken Tarus.
He was speaking at a press conference held at Stima Plaza today where the Company sought to shed light on an erroneous media report which claimed that about one million customers were non-existent, based on the fact that they had not purchased tokens since the meters were installed and activated.
Dr Tarus added that all prepaid meters come with preloaded units, which account for the long time taken by customers before they commence vending, especially in low income households which are low consumers of electricity.
β€œMost of the customers who are beneficiaries of the World Bank’s GPOBA (Global Partnership of Output Based Aid), and the Last Mile Connectivity programmes are largely from informal settlements whose monthly consumption is 2 units on average. As a result, most of them take long to exhaust the initial pre-loaded units,” said Dr Tarus.
The number of customers connected to the national grid has been growing steadily over the last five years.
By June 30, 2012, only 2 million customers had been connected to the national grid, accounting for just 16 per cent of the country’s population with access to electricity. This figure had increased to 4.9 million customers by the end of the last financial year.

For more information, contact:
Kenya Power Corporate Communications Dept.
Tel. 3201622/30 or/47
E-mail
comms@kplc.co.ke
Cc joto la jiwe chongchung
 
Flyover? Mbona hapo reli inapopita mpaka barabara kubwa ya majumba sita ni distance ndogo tuu inamaana barabara itakuwa kama interchange pale kwe nataa?
Sijaelewa reli ipi inapita mpk barabara kubwa.. ila upande wa huku barabara ya g/mboto (mataa) hakuna shida.. space ipo ya kutosha hata kwenye services road wanaweza kujenga kwa shape ya L. shida ni huko kwenye nyumba
 
Karibuni
 
Flyover? Mbona hapo reli inapopita mpaka barabara kubwa ya majumba sita ni distance ndogo tuu inamaana barabara itakuwa kama interchange pale kwe nataa?
Pale majumba sita nyundo lazima ihusike, padogo sana kufosi fly over yakuja kuungana na G/Mboto Road. Njia mbadala wabuni sehemu nyingine kabisa ambapo hakuna Nyumba nyingi za kuvunja ili kujenga fly over yenye nafasi.

Ila pia kuna barabara ya Kifuru-Pugu-Chanika ipo kwenye mpango wa kuwekwa lami hii pia inaweza badili movement za public transport badala ya kutegemea majumba sita.
 
Tanesco ilikuwa na 2.9 million customers wa umeme in 2020. Kenya power ilikuwa na 5.9 million customers in 2017. Hata kama mnapenda ubishi namna gani, huwezi kulinganisha 2.9 million customers wa umeme na 5.9 million customers wa umeme. World Bank wanaposema kwamba access to electricity ya Kenya ni 71.4% na ya Tanzania ni 39.9% wao sio wajinga, wanajua wanachosema.

Cc joto la jiwe coodip1 chongchung
Cc Geza Ulole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…