Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu ukicheki

CBD ya Dar imejaa apartments ,tena old apartment..ukitoa hizo apartments hio city inabaki sijui aje..na watu wanaishi CBD..Nairobi huwezi pata watu wanaishi CBD..CBD Mostly ni za offices and business
Dar CBD ni kadogo, it is now clear., wamechukua kama sehemu ya Eastlands wakaweka ndani, nyumba za wahindi na waarabu.., na soko ya Eastleigh., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Dar CBD ni kadogo, it is now clear., wamechukua kama sehemu ya Eastlands wakaweka ndani, nyumba za wahindi na waarabu.., na soko ya Eastleigh., [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kalilie twitter [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani unaweka Nairbi ya 90s, hakuna upperHill pale background, next to KICC hakuna parliament towers na CBK towers na bado unajikaza kulinganisha na Dar is slum ya 2020s..,ona downtown hivi sasa πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ nyumba za waarabu



Nairobi ambayo hautaki.., without Ngara., bana nyie tulieni na Mombasa, nasio tafadhali, it's where u belongπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tofautisha na hii πŸ‘‡ πŸ‘‡ ya 90s, tumepiga hatua kubwa kilaza, unaumia na kuteseka sanaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kalilie twitter [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli ulio wazi umekuuma bana, pole mjukuu sio makosa yangu iko vile ilivyo, siwezi badilishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ferdinand Omanyala ametajwa sana kwa video ya huyu jamaa. Ferdinand Omanyala saa hii ni global superstar. Hii youtube channel ndio the biggest athletics channel on youtube.
Did you watch this one? it was epic!!.., mixed relays.,
 
So huu ushuzi mliubomoa au? Na kama hamkuubomoa kwnn mnapiga picha za upande upande ili umuongopee nani sasa.
 
Tanzania tuna maeneo mengi ya hatari sana, wanachotuzidi hawa mbwa ni make up tu, cc hatuna tabia ya kuweka ma make up kama wao. Mfano picha hii hapa imepigwa upande upande ikawekwa shedo wanafananisha na Jo'burg, alafu wanajisahau wanatuongopea mpk cc tunaowajua nje ndani. Angalia hapa picha iliyopigwa make up alafu ikakatwa kaeneo kadogo ikafananishwa na Jo'burg na picha ya uhalisia [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
 
Ukweli ulio wazi umekuuma bana, pole mjukuu sio makosa yangu iko vile ilivyo, siwezi badilisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuuliza wewe, je haya majengo mliyabomoa? Na kama hamjayabomoa basi kamuongopee babaako Kibera [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakuuliza wewe, je haya majengo mliyabomoa? Na kama hamjayabomoa basi kamuongopee babaako Kibera [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2292801
Ni uchungu najua na naelewa maumivu, ila vumilia mjukuu., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Umeongea kwa hasira na maumivu sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…