Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiwa kariakoo utasikia watu wanazungumza kifaransa, kihindi , kiarabu , kingereza na kiswahili . Kuna wetu kutoka nchi mbalimbali za ukanda huu SADC na EAC , plus wacomoro wako wengi halafu kwao wanawake ndio wafabiashara maana wako wengi sana
 
Vimajengo vyenyewe vitatu ndio unalingisha hapa, angalia mshale huo uone ushuzi unaozunguka CBD ukibisha napost hyo CBD [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti huu ushuzi unapigwa picha ya upande upande zen unalinganishwa na jozi kamuongopee babaako co cc tunaoshinda mitandaoni. Dunia ya leo humuongopei mtu bro, haya niambie haya majengo mliyabomoa au? Na kama hamkuyabomoa kwnn mnayaficha alafu ndio mnalinganisha na jozi, mbn cc hatufichi kitu, narudia tena kamuongopee babaako [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alafu ukicheki
Dar CBD.., tuusan tofautisha tu. Na ujue hii ndio mwanzo na mwisho wa Dar CBD., outside hapa hakuna any other.., View attachment 2292612

Nairobi Old CBD..,
View attachment 2292620
CBD ya Dar imejaa apartments ,tena old apartment..ukitoa hizo apartments hio city inabaki sijui aje..na watu wanaishi CBD..Nairobi huwezi pata watu wanaishi CBD..CBD Mostly ni za offices and business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…