Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hapo kubwa ni lipi kaka, ni 8 lanes ama? kama 8 lanes ni ndogo sana na population za kwenye miji zinakua sana sio less than 15yrs tutakuwa hapo.
Wamepave 158,000km wakati Tz tumepave 14,000km inachezea hapo hata kenya wanadai wamepave 21,000km bado ni tunachekesha
 
Hii skyline ya Addis iko bomba sana Dar wala Nairobi haifikii hii skyline lakini out of cbd hamna kitu
Ndicho nilichosema, kwa CBD hakuna nchi inakaribia ila kwa maeneo mengine hapo sawa Ethiopia bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…