Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It is still a myth to me that why do you guys hate your nationality and at the same time brag about how great Kenya is? Or why can't Mtembezi254 and the rest of you be our brothers and still embrace your original nationality?
You know what? I had to look at your ID. It says you joined JF on 7th July 2020. Well, those who have been here long enough will tell you that that guy Walker255 is a Tanzanian
 
Ni wivu tu Ni wivu tu Ni wivu tuuuuuuuuu
 
Ni mipango tu kila kitu kinawezekana
 
Ila hii report itakuwa ni serious maana miundombinu ya viwanja siioni ikiwa sawa kabisa
 
Hii Pretoria ni ndogo kushinda Nairobi mkuu. Hata ina skyscrapers chache mno kushinda Nairobi. Hata size yake unaweza kuona ni kamji kadogo tu. Sema kako well planned lakini sio kwamba kanaishinda Nairobi kwenye idadi ya skyscrapers au hata kilomita za paved roads. Yaani unless ulete data otherwise hako kakitu ni kadogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…