Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi hakuna brt wala electric trains hata bus stations hakuna how can you compare it with well established metropolis kama Dar, Joberg, Cape Town miji ambayo vitu vyote hivyo vinapatikana.
Jikune kune sehemu flani tena 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mambo yanaanza kuiva sasa, Northern vipi hapa mna utetezi gani, naendelea kuwazoom nikiwa na kikombe cha gahawa na hii baridi nasubiri burudani tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ilikuwa huko nyuma sasa hivi tumeamka, viongozi wetu wako na mipango mkakati kuinua kilimo chetu. Hatuwezi kuamka na kuanza kulima na hapo hapo tukavuna.

Ikifika mpaka 2025 hatujafanya kitu uje hapa utucheke [emoji4][emoji4]
 
Hawapendi mtu yeyote anaye waambia ukweli ama kuwa challenge, especially kama hawana majibu to respond to the presented issue, idiots[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona nyinyi mnamsema vibaya Tony kwamba anaisifia TZ?
 
Tlikuwa huko nyuma sasa hivi tumeamka, viongozi wetu wako na mipango mkakati kuinua kilimo chetu. Hatuwezi kuamka na kuanza kulima na hapo hapo tukavuna.

Ikifika mpaka 2025 hatujafanya kitu uje hapa utucheke [emoji4][emoji4]
Fair enough, Kila la heri., yaani odds zote are in your favour, mki fail shauri yenu.
 
Fair enough, Kila la heri., yaani odds zote are in your favour, mko fail shauri yenu.
Sometimes inashangaza sana.Ila ndio hivyo tumeanza. Mipango ni mizuri kama itatekelezeka. [emoji120][emoji120]
 
Nisamehe sitarudia tena. Hiki kiboko ambacho umenichapa ni kizito sana. SA haistahili kuwa Afrika. Wao wako dunia nyingine kabisa.
Cc Sama boy 255
 
Wewe jamaa niaje unaleta picha za Addis hapa? Umechanganya za Nairobi na Addis!

Anyway, Nairobi ilikuwa bora miaka 5 iliyopita. Ila kwa sasa Dar Es Salaam ni moja ya majiji makubwa yenye maendeleo makubwa sana kuliko Nairobi. BRT phase II ikiisha itaongeza sana ubora wa Dar Es Salaam then BRT III inaanza soon. Kuna Barabara ya kisiasa ya Morogoro ni moja ya Barabara nzuri sana za kisiasa hapa Afrika Mashariki na upanuzi wa Barabara ya Kilwa kuanzia Mbagala kwenda Mkuranga.

Hivyo Nairobi haiwezi kushindana na Dar Es Salaam, Dar Es Salaam ni Next Level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…