Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jf wajuaji wengi sana, kuna msauzi pale nairaland ntakupa username yake uende upitie posts zake ndo utanielewa vizuri.
 
Mna hela mje mnunue tu hakuna jingine tena
Yaani in other words kwa wasio elewa kama wewe mnaambiwa nyie ni vilaza sana, na mnaonyeshwa jinsi mnavyo weza kuamka na kutumia rasilmali zenu ku impact Africa foodwise, muache uzembe., yaani mko na potential ila hamjitumi., 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kwahiyo kaonesha xpress way Ndio ana compare na hii skyline [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani huyo ndugu yenu mshamnyang'anya uraia wake? 😂😂😂
Pathetic!
Hawapendi mtu yeyote anaye waambia ukweli ama kuwa challenge, especially kama hawana majibu to respond to the presented issue, idiots😂😂😂
 
Hawapendi mtu yeyote anaye waambia ukweli ama kuwa challenge, especially kama hawana majibu to respond to the presented issue, idiots😂😂😂
Nashangaa kuona eti sasa Walker255 amekuwa mkenya all of a sudden!
 
Unaonyeshwa CBD wewe unaonyeshwa Mombasa road. Akili Yako inakusaidia kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa umeonesha nn zaidi ya xpress way ya mchina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…