Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

in mwanza town nilikutana na wengi....
Mimi naenda huko karibia kila week, lakini it's hard to tell who is a luo n who is not!

Wewe ulifanyaje mda mfupi huo ushawajua waluo wenzio? Au ukabila ushawaathiri mkifika mahala mnaanza kutafuta wa kabila lako kwanza[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 


Hahaha I wasn't speaking like a Tanzanian and they would ask me where I am from.
 
Hahaha I wasn't speaking like a Tanzanian and they would ask me where I am from.
He he heeeee! You could have said you were Kenyan n closed the case! Bt you went to the heights of telling your tribe!
 
Sonko si amenichokesha vinoma,lakini kuna wasee wanamchocha ,,,sijabanbika na hio risto ,,,,,,saa kama wasee wa eastlando wabambukie hapo stadi ,,,itakuaje? tena ndio uchape route 11 hadi tao?.
Najua amekatsia but tu hope atatoa fom flane fyam
 
kijana wetu diamond plutnumz(simba),apata mapokezi makubwa ya kihistoria nchini mozambique.

wanamuziki wa kenya wataishia tu kuota ndoto ya kupata mapokezi makubwa kama haya nchi wanapo enda kutumbuiza nchi ya ugenini.

 
kidonda11 na uchiboy wasup my niggas...😀😀😀i come in peace...twende kazi!! battle it up! but naona mmeshanza kukubali kuwa dar haiko level ya nai...i see we are making progress
 
kadoda na ichoboy wasup my niggas...😀😀😀i come in peace...twende kazi!! battle it up! but naona mmeshanza kukubali kuwa dar haiko level ya nai...i see we are making progress

nimelieleza vizuri sana hilo...pitia screenshot zangu hapa chini.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…