Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,754
Sasa nyie mna GDP kubwa na watu milion kumi na nne wana njaa? Ni vipi?At least DRC tunawaelewa wanapigana bado. Kuna vita huko. What about Tanzania? Tanzania is more peaceful than Kenya. Hawa jamaa hata hawajawahi kutwangana hata kidogo, which is a blessing. Kenya tuko peaceful lakini sio sana coz kuna violence wakati wa elections. Yaani these people have everything yet they are still poorer than us. Even tribalism yao is much lower than Kenya's tribalism and even their corruption is much lower than Kenya's corruption na bado wao ni masikini kutushinda. Like I just don't get it. Fertile land, best game parks in the world, all types of minerals including gold, diamonds, iron ore e.t.c Yaani hata sijui niseme nini. Bado tunawachapa vibaya sana with all these advantages zenye wako nayo.
Cc tuusan
joto la jiwe
Arema standard haiwezi pitisha 160km/hr danganya toto jingaTrain nyingine za viwango gani zaidi ya 120kph. Ukitaka speed ya over 120kph lazima ubomoe reli na pia lazima ujenge miundombinu ya umeme na ununue train nyingine za speed. For Tanzania we only need to buy new train za higher speed tuu.
SGR ya Kenya ishatimiza malengo yote hayo unayoyataja hapo kwa kubeba 3m passengers na 8million tonnes of cargo na pia imeweza kua na stations nzuri.Unazidi kuchemsha,lengo kubwa ni kupunguza muda wa kusafiri na kutoa njia mbadala ya kupitisha mizigo iki barabara ziwe na life span kubwa
Wewe kilaza uliuliza capability ya hiyo locomotives na ndio nikakupa. MGR speed ni 100kphDesign speed ya mgr haiwezi kua 120km/hr, train itaderail wacha kua mpuzi
hebu ona tu hii shamba yote. hakuna desert. kisha tena iko laced with all soughts of the most sought after minerals in the world... gold, iron ore, copper.. name it!. yani inashangaza sana kua wao bado ni least developed country 🤔🤔 walai kama tu hii ingekua shamba yetu.! ghai! kenya sijui tungekua wapi sahiziAt least DRC tunawaelewa wanapigana bado. Kuna vita huko. What about Tanzania? Tanzania is more peaceful than Kenya. Hawa jamaa hata hawajawahi kutwangana hata kidogo, which is a blessing. Kenya tuko peaceful lakini sio sana coz kuna violence wakati wa elections. Yaani these people have everything yet they are still poorer than us. Even tribalism yao is much lower than Kenya's tribalism and even their corruption is much lower than Kenya's corruption na bado wao ni masikini kutushinda. Like I just don't get it. Fertile land, best game parks in the world, all types of minerals including gold, diamonds, iron ore e.t.c Yaani hata sijui niseme nini. Bado tunawachapa vibaya sana with all these advantages zenye wako nayo.
Cc tuusan
joto la jiwe
Kama mlivyonyanganywa macho kwenye jointed diesel powered rail chinese class ngapi vile?Kama huamini chenye unaona na macho yako we ni mpuuzi unafaa kunyanganywa macho
Leo hutaona waki comment kwenye hiyo picture watasubiri tusahau halafu waje baadae waikane waseme ni ya kitambo sana.Kataeni mseme hii picha ni ya zamani View attachment 2287348
Pia haiondoi ukweli kwamba inakuumiza akili, na kwamba ndio ya kipekee duniani. You can't get another one like that labda uende planet nyingineHaiondoi ukweli kwamba ni vichaka vya fisi 😂😂😂
Mazao gani mnalima kutuzidi weka hapa tuchambue.bass mbona bado tunawapiku, ata kwa mapato ya mazao ya kilimo.!?... i need an answer
At least on paper that is acceptable.Hata utokwe povu vipi fact inabakia kwamba Kenya ina higher gdp and gdp per capita kushinda Tanzania.
Huyu alikuwa ananimalizanga na smile yake kwa #TheTrendWajamaa oneni hii pregnancy reveal ya Anita Nderu. Aki walahi ni moto. Sikujua celebrity kupata mimba ni big deal hivi. 🤣 😂. Hapa ametumia zaidi ya milioni moja kututangazia kwamba ana mimba. Pesa inasumbua watu huko nje. Mimba ni kitu ya kawaida tu.
Ni karembo. Sasa ubaya mzungu ndio anakula hiyo mali. Hata mimi kwa the trend alikuwa ananimada. Hio video yake ni noma.Huyu alikuwa ananimalizanga na smile yake kwa #TheTrend
Hujiulizi kwa nini mna matatizo mengi sana kama ulivyosema hapo juu corruption, tribalism, less peaceful etc.At least DRC tunawaelewa wanapigana bado. Kuna vita huko. What about Tanzania? Tanzania is more peaceful than Kenya. Hawa jamaa hata hawajawahi kutwangana hata kidogo, which is a blessing. Kenya tuko peaceful lakini sio sana coz kuna violence wakati wa elections. Yaani these people have everything yet they are still poorer than us. Even tribalism yao is much lower than Kenya's tribalism and even their corruption is much lower than Kenya's corruption na bado wao ni masikini kutushinda. Like I just don't get it. Fertile land, best game parks in the world, all types of minerals including gold, diamonds, iron ore e.t.c Yaani hata sijui niseme nini. Bado tunawachapa vibaya sana with all these advantages zenye wako nayo.
Cc tuusan
joto la jiwe
Endelea kua mjinga na mdanganyifuWewe kilaza uliuliza capability ya hiyo locomotives na ndio nikakupa. MGR speed ni 100kph
Arena standard ya turkey + treni kichwa cha fuso [emoji706][emoji706]Kama mlivyonyanganywa macho kwenye jointed diesel powered rail chinese class ngapi vile?
Leo hatuongei kuhusu Kenya, tunaongea kuhusu Tanzania. Mbona mumebarikiwa sana na mwenyezi Mungu kwenye kila eneo na bado Kenya inawachapa? Hivi hamjisikii aibu kupigwa na kanchi kadogo nusu ya size ya nchi yenu, kenye jangwa, hakana madini, hakana rutuba? Aibu hata kidogo tu hamna? Hata ukiwa pekee yako kitandani usiku hujawahi waza ni kwa nini Kenya na matatizo chungu nzima inawatandika vibaya hivyo? Najua umewahi kufikiria haya mambo ila hapa JF unakaza fuvu na kujifanya strong. Tumieni rasili mali yenu vizuri. Mnastahili kuwa number 1 Afrika. Shamba yenye rutuba, madini, mbuga za wanyama ni vitega uchumi ambavyo vinastahili kuwafanya muwe munashindana na Afrika kusini kiuchumi.Hujiulizi kwa nini mna matatizo mengi sana kama ulivyosema hapo juu corruption, tribalism, less peaceful etc.
ubaya tu alitunga mimba na mzungu.... .Wajamaa oneni hii pregnancy reveal ya Anita Nderu. Aki walahi ni moto. Sikujua celebrity kupata mimba ni big deal hivi. 🤣 😂. Hapa ametumia zaidi ya milioni moja kututangazia kwamba ana mimba. Pesa inasumbua watu huko nje. Mimba ni kitu ya kawaida tu.
Nchi yenye jangwa hii wachana nayo. Mungu ndio anajua ni kwa nini alifanya Kenya iwe 70% arid bila mvua ya kutosha. Pia serikali corrupt ya Kenya haijali watu wake. Inastahili kujenga dams, water pans, bore holes, water pipes kila mahali hata kama maji itatoka ziwa Victoria na kupelekwa Kaskazini mwa Kenya kutumia water pipeline.Sasa nyie mna GDP kubwa na watu milion kumi na nne wana njaa? Ni vipi?